Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

Ni kweli kabisa mkuu hata mimi najaribu kuvitumia kwa uoga sana. Hizi vitu yafaa uwe na pc mbili. Moja iwe na Genuine Windows na softwares za trusted publishers ambazo haziko cracked
na hiyo ya pili ndiyo iwe na hizo vitu.

Ukuelewa point ya Chief Mkwawa anachodai usitumie hizi net for bussiness e.g internet cafe
Lakini kwa matumizi ya kawaida au ya mtu binafsi wala haina shida na wala haiusiani na computer kuwa genuine au kutokuwa genuine
 
Nadhan ingekuwa pouwer kama ungetengeneza video tutorial ambayo itaeleza jns ya kucreate hzo configuration maana nimeptia vdeo za wahnd naona wnyw wanauwezo wa kutumia Vpn kwa kutumia buit-in path ya kule kwny control panel ,kwny connection
 
Nadhan ingekuwa pouwer kama ungetengeneza video tutorial ambayo itaeleza jns ya kucreate hzo configuration maana nimeptia vdeo za wahnd naona wnyw wanauwezo wa kutumia Vpn kwa kutumia buit-in path ya kule kwny control panel ,kwny connection

hiyo ni PPTP au L2TP VPN ambayo hata kwenye simu ipo Na sidhani ka port za ISP wa bongo ziko wazi au wameziblock
 
vp sasa kuhusu kuandaa tutorial ya video ??

I will work on this lkn kama umefatilia Post yangu siku mbili zilizopita Computer yangu ilizingua na nimeamia Ubuntu mpaka nipate ISO file ya Windows 8.1 maaana Ubuntu siimasti fresh
 
naona watu wame give up, bt i wont...


kwenye hii image mimi server nilichukua zile a kule vpnbook......nipe mafundisho kidogo
:yield:
 

Attachments

  • server2.jpg
    server2.jpg
    104.1 KB · Views: 164
naona watu wame give up, bt i wont...


kwenye hii image mimi server nilichukua zile a kule vpnbook......nipe mafundisho kidogo
:yield:

Hizo nakutumia PM lkn zile zile nilizojaza kwa configs zangu usibadili kitu chochote hapo nilipaficha kwa sababu za kiusalama
 
Hi mkuu mm naendelea vizur na hii kitu ila tatzo langu ni moja tu sijajua user name na password napata wapi.
 
Magic sim card ni sim card yoyote ambayo unaweza kuconnect internet hata kama haina salio utakuwa connected lakin haupokei wala kutuma data.
 
Mm nataka kujua hizo username na password napata wapi na kama unatoa naomba nisaidie na mm maana kila kitu kiko sawa bado username na password tu.
 
kaka mimi cjaelewa kuanzia mwanzo hyo vpn cjui ndo nin msada tafadhari
 
kaka mimi cjaelewa kuanzia mwanzo hyo vpn cjui ndo nin msada tafadhari

VPN stands for Virtual Private Network
ukiwa na VPN client basi unaweza fanya Anti-censorship yaani ku-Block hata zile Geographical limitations mfano ukiwa Bongo hauruhusiwi kuangali Videos za Netflix na HULU lkn ukiwa na VPN una by-pass hiyo limit alimradi tu uwe unatumia Server ndani ya hiyo client yenye IP iliyo located US,

Above all VPN inaweza utilize Free Open Ports za ISP wako nakukupa free Internet lkn jinsi ya kupata hizo loopholes ndo kuna mchezo lkn usiwaze sisi hizo loopholes tunazo hivo ni wewe tu
 
so hiyo OPENvpn nikidowload then niki right click ndo yanafata hayo mambo hapo juu na password na username ndo unazo wewew????????????
 
mkuu njunwa,je naweza kutumia CONNECTIVITY DISPATCH KWENYE HII MAMBO?
 
Back
Top Bottom