Kikwete safarini Marekani!

Kikwete safarini Marekani!

kama hizi taarifa ni kweli itakuwa aibu kubwa kwa watanzania wote
 
atakuwa na issue zake huko nje
ndiyo maana home hapakaliki.
inshugani bana wewe hapa home ma daktari wanagoma yeye anaenda kuzindua benku ya kikaburu FNB bank inaingia akilini?????????:crazy::crazy:
 
Atakuwa anamkimbia mamvi


aha aha aha! uenda kuna ukweli hapa mamvi amerudi kwenye uwanja wa vita.jamaa alirusha kombora alikuleta madhara makubwa kwa mamvi, sasa mamvi amerudi kulipiza,jamaa salama yake kukimbia nchi.Hiyo akili kwake lakini inatuumiza walipa kodi.tunaweza mruhusu ilo kwanza avue urais wetu kisha akimbie nchi kama yeye.
Tufanye namna ya kuzuia hili pesa zetu zinachezewa kwa namna hiyo.
 
tusipomzuia sisi wamarekani watatusaidia kumzuia coz wamemchoka,yeye kila siku kwenye mji wa mtu mwenzio kwako haji,baba mwanaasha kweli huna chembe ya aibu.huoni haya?
 
Kama wasingemuua
nyerere wasingekuwa
wanafanya haya.
 
WTF is arbor day???
Arbor Day 2012 April 27, 2012 in the USA Arbor Day is in 2012 on the 27th of April. Arbor Day is a holiday in which individuals and groups are encouraged to plant and care for trees. It originated in Nebraska City, Neb., in the United States in 1872. J. Sterling Morton is the founder of Arbor Day. The first Arbor Day (from the Latin arbor, meaning tree) was held on April 10, 1872, and an estimated 1 million trees were planted that day. In the US, the national holiday is celebrated every year on the last Friday in April; in Nebraska, it is a civic holiday. Each state celebrates its own state holiday. Many countries now observe a similar holiday. Though usually observed in Spring, the date varies, depending on climate and suitable planting season. Trees are an important component of the natural landscape because of their prevention of erosion and the provision of a weather-sheltered ecosystem in and under their foliage. They also play an important role in producing oxygen and reducing carbon dioxide in the atmosphere, as well as moderating ground temperatures. They are also elements in landscaping and agriculture, both for their aesthetic appeal and their orchard crops (such as apples). Wood from trees is a building material, as well as a primary energy source in many developing countries. Trees also play a role in many of the world's mythologies. (With material from Wikipedia) Nationwide USA When? Friday, the 27th of April 2012
 
Kama wasingemuua
nyerere wasingekuwa
wanafanya haya.

Nyerere angekuwa hai wasingethubutu kutufanyia ushenzi wanaofanya sasa wa kufuja mali za umma kwa kusafiri hovyo hovyo na kuuza rasilimali za nchi!!
 
Atakua anapeleka hesabu kwa Bush, mahesabu ya ule mradi wao,
 
Nyerere angekuwa hai wasingethubutu kutufanyia ushenzi wanaofanya sasa wa kufuja mali za umma kwa kusafiri hovyo hovyo na kuuza rasilimali za nchi!!

ndiyo maana walimuua
 
Back
Top Bottom