Recent content by NTAHOKAGIYE HUMA

  1. N

    Kati ya watangaza nia wote, yupi umeona anafaa?

    Makongoro atosha, hatuhitaji yule mwenye makomando ya ufisadi waliokubuhi nyuma yake hata yeye hapana.
  2. N

    Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    Daah kabwe najua utarudi kwa kasi zaidi karama unanyo haina ubishi.
  3. N

    Zitto kutimkia ACT-Tanzania?

    Nyie regam weye fikra finyu mnashindwa hata kufikiri mtu angekua kibaraka wa kuangusha serkali kama mara tatu na hao ambao so vibaraka wanapayuka hawana hoja za kuinyumbisha serikali. Ache wivu nyie mnatafuta chokochoko ili mfifize karama yake, Mungu yuko naye Zuberi Kabwe.
  4. N

    Zitto kuaga wabunge wenzake leo - Machi 19, 2015

    Ukipata mafanikio au umaarufu hapa tanzania jiandae kuonewa wivu mno ili urudi nyuma au uwe sawa na wao masikini hii nchi mnawatupa watu wenye uwezo mkubwaa wa kuleta mabadiliko mnabakia wivu tu. ZTTO KABWE ATANG'ARA TU HATA KAMA HAYUKO CHADEMA, KARAMA KAPEWA NA MUNGU ILI AWAPINGANIE WAYONGE...
  5. N

    Serikali yasitisha mafunzo ya JKT

    Mafunzo ya JKT hayana tija hata kidogo walinawadhalilisha watoto wa kike na kuwaambukza tu. eti wanajenga uzalendo wapi na wapi wakati walioenda JKT ENZI HIZO NDO MAFISADI, WEZI WAKUBWA UPUUZI HUU HATA HAYANA HURUMA NA WALALA HOI. NDO HAO WATOA HUDUMA WENGINE KUJIONA TU ETI UZALENDO. UZALENDO NI...
  6. N

    Zitto Kabwe achunguzwa kuvuna PAP

    Hivi mbona munakua na akili ndogo hzo nyaraka ziliibuliwa kipindi kile PAC wananasilisha masuala ya escrow ilikua ni upuuzi wa kubumba lkn siwashangai nyie watazania mna wivu hampendi kuona mtu anang'ara kwa lolote juu ya mafanikio yake ndo haya haya ya diamond mnamfanyia shinda kweli nyie. Wivu...
  7. N

    Mwanamke ni kiumbe katili kuliko hata unavyofikiria

    Siku moja nilimdadisi mdada mmoja nikamuulza mbona akina mama wanaonekana weye huruma na upendo lakn kuna jambo analoweza kulifaya na kubaki kushangaa.Wanaume hao hao wanaonekana wakatili ndo wanaweza saidia mtu yeyote katika mazingira usiyo weza hata kufikiria kwa asilimia kubwa zaidi ya akina...
  8. N

    Mh Zitto Kabwe wewe ni genius & very smart politician ever

    Wanasumbua bunge hawa wabunge kutoka kgma angalia hoja zao bungeni lazma waziri akiulizwa swali na hawa lazma ajiandae kiukweli, umeshajiuliza kwann wako vle? Hoja za kutikisa serkal hutolewa na hawa wegne ni payuka payuka tu.
  9. N

    Mahakama yaingilia Bunge kuzuia suala la Escrow lisijadiliwe!

    Leo bunge limeonesha uhai mkubwa kuweza kushikamana katika suala, sante sana ndugai kwa kutumia hekma ya kiti kuwapa wabunge wachaingie hili suala. Lazma iletwe bungeni atajulikana tumbili ni nani.
  10. N

    Tanzia: Ben Kiko afariki dunia

    Alitangaza kwa umahili na sauti ya kuvutia wasikilizaji, daah dunia hii wote tunapita. R.I.P KIKO.
  11. N

    Rwanda: Meet the Rwandans who cause Kagame the sleepless nights

    What i can note to RPF leadership is the fear of being challenged, Kagame defences his leadership to an expense. When kagame is challenged by any person even if is tutsi he must face harsh actions like patrick kalegea who was killed and Jeneral Kayumba Nyamwasa who is facing hard time to bring...
  12. N

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamis 2 Oktoba 2014 - Matokeo ya Kupitisha Ibara za Rasimu ya Katiba

    Katiba ya ccm lakn baada ya uchanguzi mkuu taifa 2015 mbona Rasmu ya warioba itaendelezwa, kwanza haitumiki!
  13. N

    Askofu wa Katoliki aeleza njia mpya kuzuia Katiba

    Serkal 3 tutavunja mikataba ya wakubwa, so lazma 3 ili kulejesha mikataba iliyosainiwa chin ya serkal 2, serkal 2 inawalinda kuendelea ndo maana wamejfunga ktaz 2 serkal. Safi baba asikofu niwemugiza ariko shahu.
Back
Top Bottom