Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,914
- 133,926
ilikuwa ni suala la mda tu Zitto kujipambanua kuwa ni msaliti.Duuh ama kweliii siasa mchezo mchafu nilimsikiliza zzk akijigamba kuwa ni mwanachamaa wa CDM sasaa leo ACT...duh...
ilikuwa ni suala la mda tu Zitto kujipambanua kuwa ni msaliti.Duuh ama kweliii siasa mchezo mchafu nilimsikiliza zzk akijigamba kuwa ni mwanachamaa wa CDM sasaa leo ACT...duh...
Hiyo ni mali ya chama lazima arejeshe mkuu
Hata hivyo tusimkumbushe tumwache arejeshe kwa hiari maana hakawii kuja kuomba msamaha kinafki ili atuvuruge
Lisemwalo lipo kama halipo laja huu ni msemo wa wahenga ila unamaana kubwa sana
Baada ya hisia sasa imekuwa kweli Zitto kabwe rasmi ahamia ACT mwigamba ampokea kwa mbwembwe.
Source:Magazeti ya leo
lisemwalo lipo kama halipo laja huu ni msemo wa wahenga ila unamaana kubwa sana
baada ya hisia sasa imekuwa kweli zitto kabwe rasmi ahamia act mwigamba ampokea kwa mbwembwe.
Source:magazeti ya leo
Machadema kwa ubaguzi wao na uroho wa madaraka hawafai hata bure
Lisemwalo lipo kama halipo laja huu ni msemo wa wahenga ila unamaana kubwa sana
Baada ya hisia sasa imekuwa kweli Zitto kabwe rasmi ahamia ACT mwigamba ampokea kwa mbwembwe.
Source:Magazeti ya leo
zitto zuberi kabwe anaweza akawa mzuri sana huko aendako lakini siyo ndani ya chadema,ndani ya chadema zitto ni msaliti mkubwa wa chama kwa sababu ya pesq za ccm.
Hakika usaliti aliyoifanyi zitto haitamwacha salama popote aendeko.ni sawa na mke aliyeachika kwa umalaya popote atakapoolewa mume wake mpya atakua ana muona siyo mwaminifu(malaya) hata kama atakua alishaa chaumalaya wake.
Humu kuna comments nyingi ambazo hazileti maana, muelekeo wala maendeleo. Simjui kiundani Zito lakini alinifurahisha pale alipo chachamaa kwenye kesi ya escrow.
Sasa waleta mjadala ni vizuri tukazungumzia mazuri aliyo yafanya na mabaya alio yafanya ili wasiomjua waweze kumjua vizuri na atakae mchagua kwenye ubunge au lolote ajue kwanini anamchagua, badala ya watu kua kama bendera inayo fuata upepo, mradi mtu kasikia Zito ni mzuri basi mpe kura au ni mbaya basi nyime kura.
Mkuu elewa kwamba hapa hatuzungumzii Escrow,tunazungumzia Usaliti na mustakabali wake kisiasa.usichanganye mada.kwenye Escrow tulikuwa wakweli na tulimuunga mkono na kwenye mapungufu tulisema.Sasa Escrow haiwezi ku-offset Usaliti wa Zitto.Hata ivo issue ya Escrow haikuwa ni private(kama Zitto anavyowaamisha),ni kazi ya CAG na PAC ikachambua na finally bunge likaazimia,labda uniambie kama PAC ilishabinafsishwaHumu kuna comments nyingi ambazo hazileti maana, muelekeo wala maendeleo. Simjui kiundani Zito lakini alinifurahisha pale alipo chachamaa kwenye kesi ya escrow.
Sasa waleta mjadala ni vizuri tukazungumzia mazuri aliyo yafanya na mabaya alio yafanya ili wasiomjua waweze kumjua vizuri na atakae mchagua kwenye ubunge au lolote ajue kwanini anamchagua, badala ya watu kua kama bendera inayo fuata upepo, mradi mtu kasikia Zito ni mzuri basi mpe kura au ni mbaya basi nyime kura.
Zitto njoo ugombee ubunge Arusha mjini, tutakupigia kura kwa asilimia 100.