,
Tutakukumbuka jinsi ulivyolitumikia taifa lako kwa moyo mkunjufu.
Nakumbuka sauti yako ya madaha iliyojaa bashasha wakati huo ukitangaza toka kituo cha Dodoma na baadae ulituletea habari moto moto wakati wa vita ya Kagera ya kumg'oa Nduli Idd Amin kutoka katika ardhi yetu,ulitoa taarifa ambazo sisi tuliokuwa tukisikiliza toka sehemu mbali mbali za Tanzania tulibaki na furaha ya kujua vijana wetu wapiganaji shupavu watashinda vita bila wasiwasi wowote.
"Huyu ni Ben Kiko akikuletea habari hizi kutoka uwanja wa mapamabano Mbararaaaaa.
RIP Ben Kiko.
H