Mwanamke ni kiumbe katili kuliko hata unavyofikiria

Mwanamke ni kiumbe katili kuliko hata unavyofikiria

ligera
Hebu jiweke katika nafasi kama hiyo, mkeo akuulize kuwa akizaa nje ya ndoa utanya nini, je, utamjibu nini ? umkute akiwa na uhusiano na mtu wa nje utamfanya nini. Kama ni mimi ndo utakuwa mwisho wa ndoa. Kwa hiyo,

hakuna binadamu anaweza kuvumilia ujinga kama huo awe mwanamke au mwanaume tena kwenye dunia hii yenye maradhi ya kila kuanzia mafua mpka Ebola.
 
Last edited by a moderator:
Tafiti za kisayansi zinsonyesha kuwa,mnyama katili kuliko wote ni mnyama aitwaye binadamu, ni mwanake kama unavyodai,umebaniwa kuchapuka unakuja kutudaganya hapa,idadi ya waathirika wa ukatili wa kijinsia iliyokubwa ni wanawake,kama wangekuwa katili wanaume c ndio eangeongoza kwa kujeruhiwa na wake/mademu zao?
 
Kweli kabisa wanawake wakiamua kukubadilikia dunia yote utaiona chungu, wakati ambao naupitia hivi sasa ni mgumu sana kwa sababu ya mwanamke na sikuwahi kuwaza kama angeweza kuja kufanya alichofanya.

Nakiri na nitazidi kukiri kuwa wanawake ni viumbe wenye roho mbaya sana tena wanapoona kuna tatzo wao ndio wanakandamiza hapo hapo.
 
Mara nyingi sana watu wamekuwa wakiwasifu wanawake kwamba ni watu wapole lakini ukweli haupo hivyo.

Mwanamke ni mtu wa maamuzi ya haraka na pengine anapotaka kufanya jambo huwa hafikiri madhara yake huwa anakuja kutafakari wakati nambo yamesha haribika.

Mwanamke akiwa na hasira anakutoa roho muda wowote na anabadilika tabia muda wowote. Ukitaka kuamini embu siku moja muulize mkeo kwamba hivi nikizaa nje mtoto upo tayari kuishi naye halafu usikie majibu atakayokupa. Niliwahi kumueleza mke wangu nataka kuoa mke wa pili jibu alilonipa kwamba nisimtafutie mada kesi tafadhari , jibu ambalo mpaka leo huwa najiuliza alikusudia nini.

Mwanamke si mtu wa kumsaidia kwa sababu hawana shukrani na wepesi mno kusahau fadhira walizo tendewa. Unaweza kuwa na mke ukampa kila kitu lakini siku moja akimpata wa nje utapata tabu.

Wanawake ni wepesi sana kudanganyika hata asome vipi ni wachache mno unao weza kuwakuta na misimamo imara.

Wanawake ninaowajua mimi wengi wastahamilivu na wana huruma sana, wanaweza kukutunza ata kama wewe ni mume jina tu yaani hauna kazi wala pesa wala biashara, ukiona mwanamke kafanya hayo katika red hapo ume mtreat vibaya na ameshindwa kujicontrol, kama mkeo unamtenga kwa mfano mnalala kitanda kimoja lakini kukutana kimwili kwa miezi miwili mara 1 hayo akifanya hayo usimlaumu maana wewe ndie utakuwa umesababisha
 
Mi naona tusiwaweke watu katika mazingira ya kukosea ili kuhalalisha mawazo yetu nimeona hii pande zote hususani kwa vijana ambao hawajakomaa kama mleta mada unafanya kosa halafu unataka mwenzako ashangilie ili umuone malaika sio vema hebu tuwatendee wengine kama ambavyo mngependa kutendewa.
 
Tabia za wanawake ndio tabia za binadamu alivyo
 
Naona kana kwamba unajichanganya katika maelezo yako, unakashfu mwanamke tena unataka uongeze mwakamke mwingine.. ina maana huyo uliyetaka kumwongeza si mwanamke anayekojoa akiwa amechuchumaa? labda alikuwa mwingine ndiyo maana akaujibu hivyo kulingana na negative yako kwa wanawake.

Mwanamke angekuwa na roho mbaya hivi, hadi leo ungekuwepo? shukrani ya punda ni mateke?hivi unafikiri ulikuwepo bila kupitia uchi wa mwanamke? hukukaa tumboni mwa mwanmake miezi tisa?Nyoko wewe...., hivi unafikiri jinsi mama yako alivyokuwa anaacha kulala kwa kukubembeleza ili ulale...?PUMBAVU....nakushauri usiwe unawaunganisha wanawake wote.... kila siku uwe na unatumia neno ... baadhi.... umesikia eheee mtoto wa mama.... nyoko....
 
Uhm....inategemea lakini.mwanaume anaweza kuzaa nje ya ndoa na baada ya mda mwanamke akaikubali hali,sisi wanaume je?
Mke wako akizaa mtoto nje ya ndoa itakuwaje!....uhmm jaman tuwaache tu hawa wamama!
 
Mara nyingi huwa nasema kuna baadhi ya wanaume ni wabinafsi sana kama mleta mada. Mleta mada usiwaite wanawake wakatili ili ku-justfy ujinga wako. Kabla hujamwita mkeo mkatili, hebu jiweke kwenye nafasi yake, yeye akwambie anabwana mwingine nje, je, ungemchekea na kumpongeza? Kwenye swala la kumsaidia mwanamke, je, ni mangapi anakusaidia/ kukufanyia na bado unatoka nje ya ndoa au kuoa kabisa? Kabla hujamhukumu mwingine vaa viatu vyake kwanza then u-judge
 
Siku moja nilimdadisi mdada mmoja nikamuulza mbona akina mama wanaonekana weye huruma na upendo lakn kuna jambo analoweza kulifaya na kubaki kushangaa.Wanaume hao hao wanaonekana wakatili ndo wanaweza saidia mtu yeyote katika mazingira usiyo weza hata kufikiria kwa asilimia kubwa zaidi ya akina mama ambao wana onekana wana huruma.Aliniambia kua mwanamke ana upendo zaidi kwa watoto wake 2 zaidi fanya uchunguzi kwa bi mdanga wako na mzee wako juu ya upendo beyond familia yenu utanambia men wanahuruma na kusaidia mtu baki.
 
Mara nyingi sana watu wamekuwa wakiwasifu wanawake kwamba ni watu wapole lakini ukweli haupo hivyo.

Mwanamke ni mtu wa maamuzi ya haraka na pengine anapotaka kufanya jambo huwa hafikiri madhara yake huwa anakuja kutafakari wakati nambo yamesha haribika.

Mwanamke akiwa na hasira anakutoa roho muda wowote na anabadilika tabia muda wowote. Ukitaka kuamini embu siku moja muulize mkeo kwamba hivi nikizaa nje mtoto upo tayari kuishi naye halafu usikie majibu atakayokupa. Niliwahi kumueleza mke wangu nataka kuoa mke wa pili jibu alilonipa kwamba nisimtafutie mada kesi tafadhari , jibu ambalo mpaka leo huwa najiuliza alikusudia nini.

Mwanamke si mtu wa kumsaidia kwa sababu hawana shukrani na wepesi mno kusahau fadhira walizo tendewa. Unaweza kuwa na mke ukampa kila kitu lakini siku moja akimpata wa nje utapata tabu.

Wanawake ni wepesi sana kudanganyika hata asome vipi ni wachache mno unao weza kuwakuta na misimamo imara.

weeeee! ishia hapo hapo! hakuna watu wauwaji kama wanaume sasa, naomba nikuulize swali, jifikirie and be honest with your answer nikiwa kama mkeo na nina ujauzito usio wako je utanifwanyaje???
 
weeeee! ishia hapo hapo! hakuna watu wauwaji kama wanaume sasa, naomba nikuulize swali, jifikirie and be honest with your answer nikiwa kama mkeo na nina ujauzito usio wako je utanifwanyaje???

swali kuntu hilo, mkuu tafadhari toa majibu hapo
 
kwan kwenye tendo wanawake wanafanya hisani au wanaumia?

Hivi kijana kama wanawake wana roho mbaya leo hii wewe si ungeendelea kuwa bao tu unaogelea kwenye korodani za mdingi wako...!!!
 
kidole cha kati kinakuhusu mfyuuuuu

Shetani anatumia silaha hatari sana iitwayo mwanamke ili kumtia matatizoni au kumwangamiza kabisa mwanaume:- Cjui kama mnakumbuka Eva alivyomtia majaribuni baba yetu Adam.....Au mmesahau mbabe Samson alivyoingizwa mkenge na Delilah.......Jaman pamoja na kwamba hawa viumbe ni mama zetu, dada zetu na pia ni wake zetu lakin mjue mtoa mada yuko sahihi
 
Back
Top Bottom