Recent content by nsekwa

  1. N

    Peniela (Story ya kijasusi)

    Hii story jamaa alitabiri korona kabisa
  2. N

    Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

    Pipi = thumuni/ senti 50 Kitumbua shilingi 1 Pakiti ya karanga sh. 1
  3. N

    Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Kabisa, Serikali inahangaika kukusanya hela mpaka kwenye tozo za simu halafu yeye anaziachia kizembe zembe kabisa. Eti mpaka mtu aliyejenga nyumba ya 100m naye analipishwa 27,000!!
  4. N

    Jirani anishangaza kwa matumizi yake ya Internet

    Huyo ana post paid, TTCL wanayo unalipia sh 30,000 tu kwa mwezi, unatumia upendavyo
  5. N

    Spika Ndugai: Miradi yote aliyoacha Rais Magufuli iko salama

    SGR ni mhimu sana katika ukuaji wa uchumi, nchi zote zilizoendelea zinatumia train, na zinazoendelea ili zikuze uchumi lazima ziende kwenye usafiri wa train. Usafiri wa malori na mabasi kwa masafa marefu umebaki kwenye nchi masikini tu, ukipinga rail basi jua kuwa bado hujakua
  6. N

    Macho yangu yananidanganya?

    Kweli kabisa
  7. N

    Mama Samia Suluhu anajua kuongea Kiingereza?

    Kwanini siyo Kifaransa au Kiarabu au Kireno au Kichina?
  8. N

    ATCL kuanza safari za China tarehe 20/03/2021, wasafiri kupimwa Corona mara mbili ndani ya saa 48 kabla ya safari

    Nawapongeza kwa hatua hii, ushauri wangu ni kuwa wawenacho kipimo cha korona wasitegemee cha maabara ya taifa, Mchina kila mara anatoa adhabu kwa mashirika ya ndege kila abiria wakipatikana na korona, wakipatikana wanne tu suspension ya wiki moja na kuna idadi ikifika unapigwa mwezi mzima. Ni...
  9. N

    Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

    Hata wengine TANESCO wako vizuri kushinda Bandari hata TRA
  10. N

    Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

    Kama hujui TANESCO iko kwenye tatu bora au no. 1 kabisa
  11. N

    Peniela (Story ya kijasusi)

    Iko vizuri sana, vurugu zote zilisababishwa na virus na chanjo yake
  12. N

    TAKUKURU yashikilia wanafunzi 13 wa IRDP kwa rushwa

    Ni mifumo mibovu tu ya vyuo vyetu, na vyuo vingi sana hata Tz vina shida hii, utakuta mwalimu anafelisha kwa makusudi ili atunge mitihani ya marudio kwa sababu tu kuna hela wanalipwa! Kuibiwa mtihani yawezekana kunasababishwa na mifumo ya Professor anatunga mtihani badala ausimamie mwenyewe na...
  13. N

    Posta Tanzania mnafanya kazi kienyeji sana. Huu ni upuuzi

    Siku hizi wameshindwa hata kushindana na mabasi, hawana ubunifu ni full ubabaishaji tu. Wanasubiri wabebwe na Serikali kila mara
  14. N

    Wasiolipia kodi viwanja kunyang’anywa Januari 2021

    Hakilipiwi kama tu hakijapimwa, lakini kama kimepimwa na mumilikishwa kisheria hata kama huna hati unapaswa kukilipia
Back
Top Bottom