Kwanini Mkuu wa majeshi hutokea JWTZ pekee?

Kwanini Mkuu wa majeshi hutokea JWTZ pekee?

Military ni Moja TU nayo ni jwtz, hayo mengine sio majeshi or military .
Police sio military.
Magereza sio military .
Fire sio jeshi
Uhamiaji sio jeshi.

Halafu hili swala nalitafutia Kujua kwa nini na nani alianza kuviata polisi, magereza uhamiaji, zima moto eti ni majeshi.
Haingii akilini na haina mantiki.

Bakita waje watoe ufanunuzi hapa
Upo sahihi nafikiri labda kiswahili kimeishiwa Misamiati ndio maana walishindwa kupata neno zuri/sahihi kutambulisha hizo idara zingine Toafuti na Tanzania nchi zingine zote waliobaki wanaitwa Services/Department yaan Police Service, Au Police DwEpartment cha ajabu ukija hapa Bongo Hata Zimamoto wanajiita Fire Force

Na mwisho katiba yetu yenyewe imevitaja hivyo vyombo kama Jeshi kasoro uhamiaji tu wao ndio hutambulika kama Idara
 
Upo sahihi nafikiri labda kiswahili kimeishiwa Misamiati ndio maana walishindwa kupata neno zuri/sahihi kutambulisha hizo idara zingine Toafuti na Tanzania nchi zingine zote waliobaki wanaitwa Services/Department yaan Police Service, Au Police DwEpartment cha ajabu ukija hapa Bongo Hata Zimamoto wanajiita Fire Force

Na mwisho katiba yetu yenyewe imevitaja hivyo vyombo kama Jeshi kasoro uhamiaji tu wao ndio hutambulika kama Idara
Ni kweli mkuu, kiswahili kina misamiati michache.

Hata kama police imeitwa ni jeshi kwenye katiba ya Nchi, haya ni 👈 ni makosa ya kimantiki na kimuundo.

Katiba iliiandikwa na watu wachache na wenye maarifa ya kipindi hicho ,so ilikosa ubunifu na weledi .

Update ya katiba ni lazima
 
Ni kweli mkuu, kiswahili kina misamiati michache.

Hata kama police imeitwa ni jeshi kwenye katiba ya Nchi, haya ni 👈 ni makosa ya kimantiki na kimuundo.

Katiba iliiandikwa na watu wachache na wenye maarifa ya kipindi hicho ,so ilikosa ubunifu na weledi .

Update ya katiba ni lazima
Upo sahihi chief
 
Tanzania ina Jeshi moja tu ambalo ni JWTZ na ndani yake kuna Majeshi makuu matatu ambayo ni Land Force, Navy Force na Air Force na kila Jeshi lina mkuu wake. Mkuu wa Majeshi ni mkuu wa Majeshi hayo yote.

Jeshi kwa kizungu huitwa Military. Military ni neno linalojumuisha Land force, Navy force na Air force na mkuu wake huitwa Military Chief au mkuu wa Majeshi.
Hivi ni Millitary au Army!?
 
Hivi ni Millitary au Army!?
Nyerere bhana 😂😂, hivi Sasa wa Tanzania hawajui kiswahili na English pia hatujui .

Kumbe kabla ya kubadilisha katiba , kumbe cha Kwa nza kubadilisha ni mifumo ya Elimu ya Tanzania .
 
Habari.

Kuna kitu huwa najiuliza sipati maybe ni cha kawaida kwenu ila naomba leo mnijuze.

Kwanini mkuu wa majeshi mara zote huwa anatoka JWTZ. Kwanini asitoke jeshi la polisi au jeshi la uhamiaji? Hii imekaaje kaaje?

Kuna wakati fulani kipinidi cha hayati Raisi Magufuli. Mkurugenzi wa Usalama wa taifa alichaguliwa kutoka jeshi la polisi. Sasa kwenye huu ukuu wa majeshi mbona huwa anatokea sehemu moja tu?

La pili naomba kujua. Je, Mkuu wa majeshi ni mkuu wa majeshi yote yaani polisi, uhamiaji, magereza, tiss na fire au anakuwa mkuu wa majeshi fulani pekee?

Mwenye kujua naomba anijuze tafadhali
Mungu wangu!...naogopa usije ukawa ni msomi tu halafu hujui vitu vyote hivyo?...
 
Mungu wangu!...naogopa usije ukawa ni msomi tu halafu hujui vitu vyote hivyo?...
Ajabu ni nini ikiwa ni msomi ambae sijui hivyo vitu? Je niambie wewe ambae kwa kauli yako hio unaonekana ni msomi, unajua kila kitu? Kuna kozi au field inayofundisha kila kitu?

Late Nyerere aliwahi sema kuna tofauti kati ya mjinga na mpumbavu. Mjinga ni yule asiyejua jambo fulani lakini akijuzwa ujinga wake kuhusu hilo jambo humtoka. Ila mpumbavu hajui kitu na hataki kujuzwa. Kwa kifupi mpumbavu ni total opposite ya mjinga.

Kati ya mimi na wewe ni nani mjinga nani mpumbavu?
 
Hivi wewe ni kiraza ama ni zumbukuku wa maarifa? Namana hujui kwamba hizo ni taasisi mbili tofauti na majukumu tofauti. umewahi kuona toka lini kocha wa basketball akaenda kufundisha football. polisi wanamajukumu yao na mkuu wao, pia na wajashi wanamajukumu yao na mkuu wao, hata mafunzo yao hayafanani kwa kiasi kikubwa. kuhusu usalama wa taifa inahitaji mjumuisho wa mambo mengi. usishangae hata muuza madafu pale kariakoo ni usalama wa taifa au hizi mbususu tunazopishana nazo kila siku mtaani zingine ni usalama wa taifa. so unapaswa kuwa makini na tamaa za kijinga, funga zipu nyege zitakuponza.
Mweleze vizur sio kwa kutukana
 
Police/Polisi wanabaki kuwa hivyo huku sijui nani alikuja na idea za Jeshi la Polisi😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Majeshi ni jeshi la anga, jeshi la wanamaji na jeshi la ardhini hayo mengine sio majeshi kiongozi so mkuu wa majeshi anatoka ndani ya hayo matatu!
mbona kuna jeshi la polisi na jeshi la magereza?
 
mbona kuna jeshi la polisi na jeshi la magereza?

Kisheria hayo sio majeshi ni vyombo vya huduma sio majeshi ya ulinzi, na hawana uhusiano kabisa na uongozi wa jwtz! Maafisa wa JW wanaitwa commissionesd officers na wanaapishwa na rais, maafisa wa magereza na polisi wanaitwa gazetted officers wanapewa visoda vyao na IGP. Kwa hivyo vyombo ni makamishna tu wanateuliwa na rais.

National Defence Act (NDA) inatambua Navy, Land forces, airforce na Jkt kama majeshi hao wengine wapo kwenye sheria ya magereza na polisi ndio maana wizara yao ni mambo ya ndani lakini jesho linakua na wizara ya ulinzi peke yake
 
Hivi ni Millitary au Army!?
ni namna kutaja jeshi katika hali na mazingira fulani. Kuna force pia, tz army, tz forces, tz millitary. Pale Lugalo kuna millitary base, hawajaandika army base au force base
 
CDF anatakiwa atoke kwenye jeshi linalolinda mipaka ya nchi
CDF ana jukumu la kuongoza operations za vita, strategic planning ya kijeshi, na kudhibiti vikosi vya silaha kazi ambazo zinahitaji uzoefu wa kijeshi.

Kwenye ranking yeye anakuwa senior kwa wakuu wengine wa vyombo vya ulinzi na usalama

Kwa Tanzania ni Tanzania Military au JWTZ/TPDF ambayo inajumlisha Army/Land Force, Navy na Air Force
Hizo ndio kamandi za kivita kwa ulinzi wa mipaka ya nje kwa TZ
Mkuu wa hizo zote ndie anakuwa CDF
US wana Marine, Army, Navy, Air, Coastguard na Space Forces, mkuu wa wakuu ndie anakuwa Chairman of Joint Chiefsof Staff CJS saaa na na CDF kwa TZ
JKT ni kitengo/component ya jeshi kwa ajili ya uzalishaji
JW ipo Wizara ya Ulinzi
Police na Magereza ni paramilitary, kazi zao kubwa ni usalama na ulinzi wa ndani na nidhamu, ukiongezea na Uhamiaji na Zimamoto , Fire and Rescue hizo ni services au idara, wako Wizara ya Mambo ya Ndani
Pia kuna majeshi usu ya uhifadhi (conservation) hao wa TANAPA, Ngorongoro, TAWA na TFS, ni raia ila wanapewa mafunzo ya kijeshi kwa muda mfupi kwa nature ya kazi lakini sio wanajeshi, wapo Wizara ya Maliasili
Mgambo ni jeshi la akiba, wapo chini ya JW
Kwa sasa mpaka Madawa ya Kulevya, Takukuru nao wapo kwenye ulinzi na usalama
 
Jeshi ndio chombo kikuu cha kulinda usalama wa nchi!

Hakuna namna unaweza kuwapa mtu asiyekuwa mmoja wao kuwaongoza!
 
Back
Top Bottom