Recent content by Nsame

  1. Nsame

    Nini madhara ya kuoa binti kutoka familia fukara?

    Ni kweli haya mambo ni kama yanaambukiza hivi, mtu aliyetoka kwenye familia duni huwa kuna vitu vilivyopelekea uduni kama na yeye kavimeza ni ngumu sana kuliachia maana huamini maisha ni bahati na sio kupangiwa, Nidhamu na uwajibikaji, na pia aliyetoka familia iliyopigwa ikawekq mambo vizuri pia...
  2. Nsame

    PreGE2025 Vijana na sie tujiandae mwakani kuweka Rais wetu

    Tunaheshimu mawazo yako, lkn hatufanyi mkono 1-wewe unaweza usiwe kijana na ukatumia fimbo hii kuwaadhibu vijana 2-Suala la kunga'nga'nia madaraka haitokani sana na umri bali, Tabia za ulafi, ubinafsi, mifumo mbovu na usimamizi mbaya wa sheria na taratibu 3-lazima utofautishe Ujana na Utoto...
  3. Nsame

    Maajabu ya wanawake kupenda wanaume weusi huku wakitaka kupata watoto weupe!

    Ni kweli na ukiona umemuelewa basi ujue hujaanza kumuelewa Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
  4. Nsame

    Uzi kwa ajili ya wanachuo wanauza assets zao ili wapate Ada ama nauli

    Bei na ulipo tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Nsame

    DPP ashauriwa kukamilisha upelelezi haraka wa Kesi ya Mashekhe wa Uamsho au kuiondoa kesi hiyo Mahakamani

    Ipo siku Tabaka dhulumiwa litaamua 1-Liendelee kudhurumiwa (udhaifu 2-Lipambane kwa hali yeyote ili kuondoa dhuruma,hata kama kupambana kutamanisha kupoteza kile lilichokiogopea kupotea.
  6. Nsame

    Hivi Magufuli ameshindwa kwenda na ndege ya Rais? Watangulizi wake walionunua ndege ndogo ya Rais hawakuwa na akili?

    Jaman hivi nyie hamjapitia utoto? Ukinunuliwa viatu au nguo mpya unaonaje,au kama ni likizo halafu kuna safari ya kutembelea ndg na jamaa hata kama nguo mpya ilikuwa ni kwa ajili ya baridi na kunajoto ulifanyaje!?[emoji12][emoji12][emoji12][emoji23]
  7. Nsame

    Kwa taratibu za mazishi za Waislam nawapa kongole

    Hayo ni maagizo, mila,tamaduni au sharti za dini? Au ni kijamii?
  8. Nsame

    Naomba ifike hatua tukose hata ada za kuwapeleka watoto wetu shule za "ST" ,biidhaa ziadimike madukani,n.k, labda ndio wote tutaongea lugha moja

    Inategemeana na kipimo unayotumia kupimia unafuu ni cha aina gani. Huenda ni unafuu kwa kuwa unachofanya hauhitaji kikue, Huenda unachofanya ni kidogo sana hata adhari ya uchumi kuyumba huioni, Huenda pia unchofanya ni cha kutegemea hali ya hewa tu kinaimarika Au huna malengo makubwa na...
  9. Nsame

    Naomba ifike hatua tukose hata ada za kuwapeleka watoto wetu shule za "ST" ,biidhaa ziadimike madukani,n.k, labda ndio wote tutaongea lugha moja

    Ndiyo haiwezi kutokea lakini kiwe na balance maana kwa wakati huu wenye unafuu ni watu walioko katika system ya utawala na kidogo na wafanyakazi wa serikali
  10. Nsame

    Tuachane na utani wa Mwanaume wa Dar, turudi Bongo..

    Mimi nadhani kila kitu kilichopo hapa Duniani kina sababu zake na sababu hutangulia kabla ya uwepo wa kitu chenyewe, pia jina hili nadhani ipo sababu mahususi iliyopelekea kuwepo, na nadhani inajulikana au kama haijulikani itafutwe halafu ifanyiwe uchunguzi na kisha kuanza kampeni ya kivitendo...
  11. Nsame

    Urusi na China zakubaliana Kuachana na dola, kifo cha dola kinakuja

    Naona kama kuamini ivo ni utumwa wa fikra, kwani usd ni kitu gani mpaka isitikiswe , ni sarafu inapewa nguvu kwakuwa na matumizi na nchi nyingi kwa ivo kama nchi zikijitoa lazima itayumba tu, na pia kuna uwezekano wa kuiondoa katika sarafu zenye nguvu
  12. Nsame

    Mwenyekiti UVCCM, Kheri James aomba radhi kwa watu wote waliokerwa na kauli yake

    Kuna kauli walishauliwa kuwa wafanye chochote kama wataumiza tabaka lolote wataomba msamaha, lkn hizo ni za kuambiwa inatakiwa wachanganye na zao.
Back
Top Bottom