Kwa taarifa yako..watu ndo wanamtaka agombee...watu ndo walimshawishi ahame chama...watu wanamtaka awe kiongozi wao..ingekuwa yeye ndo anataka kwa nguvu basi mikutano isingejaa kiasi hicho#democracy
Nashangaa bado kunamtu anafikiri tunaweza pata kiongozi bora ndani ya ccm..hizo ni ndoto za mchana na uvivu wa kifikiri..after all huwezi kusema unachagua mtu..kwa nchi yetu tutapata fursa ya kuchagua mtu pale tu ambapo tutakuwa na mgombea binafsi...kwa sasa tunachagua chama,na kiongozi tutakae...
Zifuatazo ni baadhi ya vigezo vya kuoa mchaga..#1 .Uwe na kazi/biashara ya uhakika.#2 .Uwe na malengo kimaisha ambayo yanatekelezeka
#3 .Uwe na upendo wa kweli.
#4 .Uwe tayari kwenda Moshi kila mwisho wa mwaka.
#5 .Uwe na wivu wa maendeleo
#6 .Uwe msikivu kwa mkeo anapokushauri ni lazima...
Kwani kabla hajabadilika ilikuwaje..ilikuwa mechi ngapi angalau kwa wiki..inawezekana kapata kamchepuko asee..kama idadi ya mechi imepungua sana unapaswa kufuatilia tatizo ni nini.
Asee nadhani kuna vitu vingine vibaya aliwahi kukufanyia sema ulikuwa huelewi kwa sababu ya mapenzi...na mama yako kuugua mpaka kuletwa hapa mjini nadhani ni mpango wa mungu kukuonyesha zaidi ubaya wa huyo mchumba wako...mpige chini ahirisha harusi mpaka mwakani then tafuta dem mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.