Selelii awavua nguo Rostam, Lowassa

Selelii awavua nguo Rostam, Lowassa

Saed Kubenea ni bonge la Ripota. Alilipoti jinsi CCM walivokuwa wanatifuana. Sasa Kubenea anaripoti jinsi UKAWA watakavombadilisha Lowassa kutoka Ufisadi kuwa Mwadilifu.
 
Kweli hii ni nchi ya wadanganyika fact ziko wazi bado mtu unabisha tuache ushabiki tuwe critical thinkers. By the way Lowasa hawaamini CDM Original, ndio maana yuko busy anategeneza CCM B au CHALOWASA yangu macho

Ni kweli bro sijui ndio wale waliondikwa kwenye vitabu vya dini kuwa wana macho lakini hawasikii...... watu badala ya kukanusha eti hatudanganyiki... only in Tanzania
 
Naona mnaweweseka acheni tu aliyependwa Kapendwa
LOWASA ANGEONEKANA HAFAI KM CCM MNGEFANYA MAZURI
SASA NI HERI UISHI NA PANYA MMOJA KULIKO PANYA ELFU NDANI
 
Kwa wale wasiomjua Said Kubenea ndiye anayewania ubunge jimbo la ubungo kwa tiketi ya Chadema/Ukawa. Hawa ndio wanasiasa (wanasihasa) ambao Watanzania wanawategemea kuwakomboa.
 
we hii inamuhusu mgombea wa urais yule aliyekuwa mwanza leo...bhasi simpi kura maana kubenea huwa hadanganyi?
 
Kwa nini hamkutuambia zamani? Si mliifanya ni siri miaka yote hiyo, kaeni nayo sis tunataka mabadiliko hata kama Lowassa anapata urais kwa coincedence hiyo sawa. Nyie CCM ndio mafisadi wa kwanza kwa hata kutunza report hii tu kama siri miaka yote hiyo.
 
Hatuna muda na masuala hayo.agenda kuu ni kuling'oa hilo DUDE CCM kwanza mengine baadae.
 
Nani asiyejua nchi kuanzia tarh 26 October nchi itakuwa mikononi mwa ukawaaaaaaaaa! Nape, punguza kuropoka kaka
 
huyu mtu anayeitwa KUBENEA ni bonge la mnafiki mpenda pesa na muoga. huyu hana sifa ya kuitwa mwandishi wa habari hana anachokijua kuhusu uandishi. ni bendera fuata upepo na kitendo chake cha kugombea ubunge ndiyo kimefunua rangi yake halisi lakini kuna mijitu mijinga inamuona ana akili kweli kweli pesa mwanaharamu shikamoo mamvi
 
Ni dhahiri Chadema/ukawa wameamua kula matapishi yao wenyewe... poleni sana! you proved your weakness!! no principles anymore, maana mna CCM -CHADEMA, who is who?
 
Hiyo argument haina mashiko wewe sio mwanamageuzi ila mwanamihemko ni muda mfupi tu utaona in ujinga. Tunataka mageuzi sio mihemko

Mageuzi yapi mkuu..yakuirudisha ccm madarakani muendelee kutumega!..never..call it mihemuko whatever u like..people have decided! Baada ya EL kujiuzulu 2008..ufisadi ulipungua?..come on be realistic. .usiwe popo unauma na kupulizia..hatuwatakiiiiiiiii...mark my words!
 
UKAWA hata wakisimamisha Shetani against CCM namchagua Shetani. Nimeshachoka hiki chama mimi, acha wawe wapinzani labda watajifunza na kuwaheshimu Watanzania.
 
Ni kweli bro sijui ndio wale waliondikwa kwenye vitabu vya dini kuwa wana macho lakini hawasikii...... watu badala ya kukanusha eti hatudanganyiki... only in Tanzania

Mkuu hapa issue sio kwamba wananchi wanampenda Lowasa bali wanaichukia na kuichoka CCM na mfumo wake wa utawala usiokuwa na tija.
 
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe siku zote...Lowasa is the coming president ..hata msemeje!
 
Back
Top Bottom