tafuta mchepuko fasta atajilekebisha na.kwanini ufunge ndoa na wanawake wa siku hizNdugu zangu ndoa yangu ina miaka saba na tumejaaliwa watoto wawili. Kabla ya kufunga ndoa alikuwa mtiifu na mnyenyekevu, baada ya ndoa mambo yamebadilika.
Nikirudi kazini namkuta kalala saa mbili tu anadai nimechelewa. Usiku nikilala wala hanigusi hata, nikiomba mechi anabana miguu, kwa mwezi nabahatisha mechi mbili ambazo zote ni counter attack.
Najiuliza hivi ndoa zote zipo hivihivi au ni mimi tu? Kwa sasa nipo kwenye harakati za kutafuta mchepuko ambao utanipa fleva ila sitaupa full mkataba.
Eti counter attack ndio ikoje hiyo.
Hahaha nimeipenda hii cost benefit analysis.
Bado anafaidi aache mbwembwe bwana
Ndugu zangu ndoa yangu ina miaka saba na tumejaaliwa watoto wawili. Kabla ya kufunga ndoa alikuwa mtiifu na mnyenyekevu, baada ya ndoa mambo yamebadilika.