Nina 5ml ninahitaji gari la maana.

Nina 5ml ninahitaji gari la maana.

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,845
Reaction score
2,249
Habari wakuu.
Nina 5ml ninahitaji gari lenye sifa hizi.
linatumia petrol.
AUTOMATIC
Lisizidi 2000cc engine size.
Bodi liwe na rangi safi toka kiwandani na sio ya kupakwa.
Nipeni stori.
 
Last edited by a moderator:
Mm nna Toyota carina model ya 1997, iko vizuri upande wa body, engen, ndani.ac inafanya kazi...gari inauzwa 4 milion
Kwa mnunuzi serious akiona hata iacha
 
Karibu mimi nina Suzuki grand Vitara left hand rangi jeusi la 2004 liko kwenye hali nzuri na haijafunguliwa injini na halijapata ajali bei 10m
 
Habari wakuu.
Nina 5ml ninahitaji gari lenye sifa hizi.
linatumia petrol.
AUTOMATIC
Lisizidi 2000cc engine size.
Bodi liwe na rangi safi toka kiwandani na sio ya kupakwa.
Nipeni stori.

kuna gari na kimeo ww utapata kimeo ambacho utakuwa unashinda gereji. mfano starlet japani ni usd 650 +freight km 1m hv na inspection 300usd jumla CIF VALUE=1730[3M] na ushee,haya ushuru 2.8m registration 3laki=makadirio 6.5.........sasa 5m utapata kimeo
 
Habari wakuu.
Nina 5ml ninahitaji gari lenye sifa hizi.
linatumia petrol.
AUTOMATIC
Lisizidi 2000cc engine size.
Bodi liwe na rangi safi toka kiwandani na sio ya kupakwa.
Nipeni stori.

Njoo nikupe Toyota Cresta,vvti engine, 4 cylinder, ina km 66000.
Gari iko vizuri sana kuanzia body hadi engen..bei ni 5.5mln
 
Last edited by a moderator:
mkuu km unataka kununua gari nafuu ujikusanye uagize. haya magari yaliyotumika hapa tz utamalizia hela yako garage
 
Back
Top Bottom