Acha kujidai mjuaji wakati wewe mwenyewe unaongea ushuzi. Ushaambiwa Emirates wamelipwa dola 13,000 kwa ajili ya mtu mmoja ili achukue siti 4 peke yake. Mpaka wakapokea hizo hela hawakujua kwamba wana regulations zao za aviation?? Hapa mashirika ya ndege yaliyopokea pesa lazima yawajibishwe. Hii...
Ndugu yangu CHAMVIGA
1. Hilo Suala la halmashauri January amelikuta na limeasisiwa na Shelukindo ndiye aliyeanzisha mchakato wa Kuifanya halmashauri.
2. Hayo mengine yote uliyotaja nafahamu hata wewe mwenyewe unajua kuwa ni porojo kwa sababu hizo ATM sio za serikali. Ishu za elimu, afya etc...
Mkuu nngu007
Sitaki kuamini kama uwezo wako wa kufikiria umefikia hapo, wewe unavyoona hiyo bara bara huoni kunahitajika kitu kifanyike? So kigezo chako ni miaka 15, real? :sad:
Natoa rai kwa ndugu yetu makamba. Kabla hujafikiria kugombea uraisi wa Tanzania hakikisha kwanza hii barabara na matatizo mengine ya Bumbuli yamepatiwa ufumbuzi vinginevyo hata huo Ubunge hatukupi tena, haiingii akilini kutaka kuongoza nchi kama jimbo pekee limekushinda.
mmmh, hapo kwenye violet nilipo bold panaonesha ni kwa jinsi gani watanzania hatupo serious, hiyo ni website ya bunge, moja kati ya mhimili wa taifa.
B.a halafu level wanaandika masters??????
Naahidi kuwa mwanachama mwema wa J.F
Wale wote niliowakosea tusameheane,
tunajenga nyumba moja hivyo tusigombane kwa sababu ya kugombea fito.
-
Regards
[*****]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.