James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

Kwa nini atangazwe na ridio ya Lowassa na si redio ya wananchi ya Sunrise?

Ni dalili kwamba Karibu Lowassa atahamia chadema baada ya nguvu yake kupunguzwa Arumeru kamtanguliza kijana ....tingatinga ..... kusafisha njia. Nguvu yao ndani ya CCM inazidi kuisha ni ruksa kuondoka.
 
mie naona tusianze kumsema kuwa alikuwa kwa EL au wapi ila tunasema karibu na aanze kutetea chama! najua ana wafuasi wengi arusha na kwingineko awalete kwenye chama cha wazalendo na vijana wanaotaka kuikomboa nchi kwenye mikono ya ukoloni mambo leo
 
Ili lipate timia andiko VUANI MAGAMBA YENU NA MNIFUATE
Dogo asije akawa anaunyemelea ubunge wa Arusha baada ya Lema kupigwa chini.
He has to be on probation for 5 years studying his move
 
CHADEMA sasa watibitishe hawapokei pesa za Lowassa

Je kambi ya Lowassa ilikwisha ondolewa kwenye orodha ya Mafisadi wa mwembeyanga?

Chadema hawakuthubutu kumtupia neno Lowassa kule Arumeru jamani hapo kuna siri kuu........au ndiye atakuwa mgombea wao 2015?
 
Mwenyekiti wa UVCCM,mkoa wa Arusha James Ole Millya ametangaza kukihama chama CHA CCM na kujiunga na chadema leo hii,adai ccm imepoteza mvuto ajianga kugombea ubunge Arusha mjini
 
Angalizo:millya hajui kupiga propaganda jukwaani,EL NDo anambeba,amehamia chadema kwa target ya ubunge arusha mjini,so chadema b care,.kaja kimaslahi.kama akijiwinda kwenda kumngo'a sendeka 2015 sina tatizo nae.ARUSHA MJINI INA WENYEWE
 
  • Thanks
Reactions: TKO
Back
Top Bottom