Barabara ya Bumbuli jimboni kwa January Makamba

Barabara ya Bumbuli jimboni kwa January Makamba

Budget zipo je? Wakatai wanashinda angani na kulala angani? Wanapiga deal za maana wewe unaulizia habari za Budget ndani la SERIKALI CORRUPT YA MACCM???????!
Hapo ndipo ulitakiwa kutupa mwanga kiongozi wewe ungefanyaje barabara ipatikane kwa budget ya sasa hili tupate somo na wengine isitoshe si kila mmbunge anausishwa kwenye mikakati ya kupanga budget.
 
Natoa rai kwa ndugu yetu makamba. Kabla hujafikiria kugombea uraisi wa Tanzania hakikisha kwanza hii barabara na matatizo mengine ya Bumbuli yamepatiwa ufumbuzi vinginevyo hata huo Ubunge hatukupi tena, haiingii akilini kutaka kuongoza nchi kama jimbo pekee limekushinda.

Hehehe!!!

JM ndio maana sasa anatafuta Urais ili ajenge hiyo barabara na nyinginezo...

Hebu wakumbuke Ankal Ben na Mzaramo wa Msoga, baada ya kuukwaa Urais ndio wakarekebisha majamvi ya kwenda kwao...

Hata huyu Kipara mkimpa Urais mbona atajenga hizo za kutosha tu huko mlimani...
 
Yaani hili ni JIMBO JIPYA halina hata MIAKA 15; Lilianzishwa na Mzee Shelukindo; Sasa unataka liwe na kila kitu sababu tu MAKAMBA ni MBUNGE?

What a JOKE... inaonyesha ni baadhi ya sisi wananchi ndio tumechoka hatujui Maendeleo ni nini

c.c NOT FOUND

Dah! Argument hii siwezi hata kuiita ya kitoto maana watoto nitakuwa sijawatendea haki kwa sababu hawawezi kutoa argument ya ajabu namna hii
 
Hilo Jimbo lina mbunge kweli? Anafanya kazi gani kama jimbo lipo hivyo hoi bin taabani? Ndio maana rasimu iliweka wazi wabunge wa type za kina makamba ni wakuwaondoa kabla ya mda,mda wote yupo busy na uraisi huku jimbo lake linazidi kuwa hoe hae.
 
Dah! Argument hii siwezi hata kuiita ya kitoto maana watoto nitakuwa sijawatendea haki kwa sababu hawawezi kutoa argument ya ajabu namna hii

Critique...? or Just The Net Delusion makes you argues Dannynaste
 
Badala ya kwenda kuwauliza TANROADS mnamuuliza January haya sasa ndio matatizo. Au labda tumezoea kufanya mambo bila ya taratibu si ndio hoja ya January hiyo.

Kwa utaratibu huu mwishowe tutawauliza watu wamungu mbona majumba yao ya ibada ayajai kisa mtaa unawaumini wasioudhuria Ibada.
barabara ya bumbuli january ameikuta ikiwa mbovu kabisa na kulikuwa na mbunge pale kwa muda mrefu na hakufanya chochote.
 
Watetezi wa Makamba na makada wa sisiemu akina Mingoi, Simiyu Yetu. FaizaFoxy na wengineo mje muone jimbo la ndugu yenu.
Hadi Mwl. Nyerere anafariki mkoa wa Mara hakukuwa na barabara hata moja ya lami isipokuwa za mitaa ya Musoma mjini, sasa iweje hio Bumbuli ya jana ambayo Makamba is just Mbunge wakati Nyerere na Urais wake hakuweza hata mkoani kwake achana na kijijini kwake.
 
Last edited by a moderator:
Kwa sababu HAO ulio wataja hapo juu HAWAKUMALIZA matatizo ya wapiga kura wao kabla hawajachukua madaraka ya juu basi UME JUSTIFY hata Makamba asipo tatua matatizo ya wana Bumbuli is OK?

Nilikuwa Bumbuli ukweli ni kuwa Makamba ni mzuri sana kwenye kuongea lkn utekelezaji ni bure kabisa!Ahadi zake zote hata kuimarisha bei ya chai kashindwa kuitekeleza!

Baraka Shelukindo akichukua form anamuangusha Makamba easily tu kura za maoni CCM ingawaje sasa kuna "mazungumzo yanafanywa" ili Baraka asichukue form
hivi bila kununua wagombea wengine january hawezi kushinda ?
 
View attachment 2616935

Natoa rai kwa ndugu yetu makamba. Kabla hujafikiria kugombea uraisi wa Tanzania hakikisha kwanza hii barabara na matatizo mengine ya Bumbuli yamepatiwa ufumbuzi vinginevyo hata huo Ubunge hatukupi tena, haiingii akilini kutaka kuongoza nchi kama jimbo pekee limekushinda.

attachment.php

attachment.php

attachment.php
Hali bado ni Mbaya JIMBONI
 
Safi sana imemwagiwa chokoleti ya Azam.
 
January Makamba hajawi kushinda ubunge,chaguzi zote yeye ananunua wapinzani kwa fedha haram ya kifisadi na kupita bila kupingwa ngoja tuone 2025 atafanyaje
 
Back
Top Bottom