Mashangingi ya CHADEMA!!

Mashangingi ya CHADEMA!!

Laiti mngejua mnachojadili ni mfumo,walahi msingepoteza muda.Lakini kuwaelewesha magamba sio mbaya sana maana nchi ni yetu sote,tukiwaacha wapotee zaidi tutapata tabu huko tuendako.Jibu sahihi la Hesabu huwa na formula moja tu,kama ni simultaneous method basi iwe hivyo na kama ni Integration iwe hivyo,au differentiation sawa,Quadratic equation Okay.Ukijichanganya tu umekwisha.Formula tuliyo nayo ni hiyo ya Magamba tufanyeje?Wao na Serikali yao Wanatoa mil.90/= Mkopo(ambao ni haki miliki ya Mkopaji) hata akinunua Bajaji au Vitz lakini kachukua 90/=.Tatizo tunalopaswa kulitambua ni Thamani ya Mali iliyoidhinishwa ambayo Ndio Dr.Slaa alitaka kuja kuifanyia kazi!Na ndio ataifanyia kazi 2015. Kwani Mnyika hiyo Vitz muulizeni alikopa m.90/= au hakukopa? Na kama alikopa je,Vitz inauzwa m.90/=?Utasikia alizitumia kwenye maendeleo ya Walipa Kodi,sawa na vema,Ndio wajibu wake?Ni nini kazi ya Serikali ya JK? Kwa hiyo nayetwishwa lawama hapa ni Serikali anaye wakopesha hawa mihela yote hii.Mfano:Wanafunzi wa Elimu ya Juu kwenye Mkopo wao kuna Pesa ya Stationary 250,000/=,ulishawahi fanya utafiti ukaona wanachoifanyia hii pesa?Je,Bodi inawalazimisha au inawakagua Stationary walizonunua?Ni mkopo,mkopaji anauhuru wa Kutumia apendavyo,mwingine Kiti Moto,mwingine "Lulu's" n.k.Lakini hii hii Body Inatoa Accomodation Fee kama 300,000/=,wengine wanaishi majumbani mwao kwa wazazi wao,wengine wanapanga uswazi na kulipia 150000/=Tu.So kuweni na akili.tatizo sio Chadema na halitakuwa tatizo lao,Hata Mh.Mbowe lile Koko ni haki yake kabisa,anayetakiwa kuona ni gharama na hasara ili azuie ni Serikali!!Ngoja nifute machozi kwanza kuwalilia kina Rejao,Ritz,Katiba Mpya,Ngongo kwa kukosa Elimu Dunia na kujifanya vipofu japo wanaona ukweli.Mimi binafsi ningedhani hata Posho wangegonga tu maana Formula yenyewe imeshindwa kusolve hesabu,Tutapobadili Formula 2015 Ndio Jibu Litapatikana.Unajua hata Dr.Slaa alipokuwa anatangaza kwamba Mashangingi kwa Serikali ni anasa na mzigo kwa Walipa kodi alimaanisha Magari ya Serikali kama vile ya wabunge,mawaziri & Naibu wao,Wakuu wa Mikoa,wilaya na Wakurugenzi n.k. LAKINI hakumaanisha kwamba Lowassa usinunue Shangingi,Rejao Usinunue Shangingi,Kipeke Usinunue Shangingi.Why?Wakati ni Pesa yako na Unayo!Iwe kwa mkopo wa Ubunge au whatever is excellent.TATIZO ni Kwanini Hiyo Dolla yaani Serikali Isiwakopeshe wabunge Pesa za Kutosha Bajaji?Kwa sababu mimi namwambia Mke wangu sina pesa usinunue Nyama,lakini Nilishamwambia matumizi ya pesa ninayokupa unauhuru wa kununua upendacho tule hapa ndani sio.Sasa nimempa 10,000/=,unataka anunue bamia na mkunungu?mpe 2000/= uone kama atanunua hizo pochozi!!!
 
Laiti mngejua mnachojadili ni mfumo,walahi msingepoteza muda.Lakini kuwaelewesha magamba sio mbaya sana maana nchi ni yetu sote,tukiwaacha wapotee zaidi tutapata tabu huko tuendako.Jibnnu sahihi la Hesabu huwa na formula moja tu,kama ni simultaneous method basi iwe hivyo na kama ni Integration iwe hivyo,au differentiation sawa,Quadratic equation Okay.Ukijichanganya tu umekwisha.Formula tuliyo nayo ni hiyo ya Magamba tufanyeje?Wao na Serikali yao Wanatoa mil.90/= Mkopo(ambao ni haki miliki ya Mkopaji) hata akinunua Bajaji au Vitz lakini kachukua 90/=.Tatizo tunalopaswa kulitambua ni Thamani ya Mali iliyoidhinishwa ambayo Ndio Dr.Slaa alitaka kuja kuifanyia kazi!Na ndio ataifanyia kazi 2015. Kwani Mnyika hiyo Vitz muulizeni alikopa m.90/= au hakukopa? Na kama alikopa je,Vitz inauzwa m.90/=?Utasikia alizitumia kwenye maendeleo ya Walipa Kodi,sawa na vema,Ndio wajibu wake?Ni nini kazi ya Serikali ya JK? Kwa hiyo nayetwishwa lawama hapa ni Serikali anaye wakopesha hawa mihela yote hii.Mfano:Wanafunzi wa Elimu ya Juu kwenye Mkopo wao kuna Pesa ya Stationary 250,000/=,ulishawahi fanya utafiti ukaona wanachoifanyia hii pesa?Je,Bodi inawalazimisha au inawakagua Stationary walizonunua?Ni mkopo,mkopaji anauhuru wa Kutumia apendavyo,mwingine Kiti Moto,mwingine "Lulu's" n.k.Lakini hii hii Body Inatoa Accomodation Fee kama 300,000/=,wengine wanaishi majumbani mwao kwa wazazi wao,wengine wanapanga uswazi na kulipia 150000/=Tu.So kuweni na akili.tatizo sio Chadema na halitakuwa tatizo lao,Hata Mh.Mbowe lile Koko ni haki yake kabisa,anayetakiwa kuona ni gharama na hasara ili azuie ni Serikali!!Ngoja nifute machozi kwanza kuwalilia kina Rejao,Ritz,Katiba Mpya,Ngongo kwa kukosa Elimu Dunia na kujifanya vipofu japo wanaona ukweli.Mimi binafsi ningedhani hata Posho wangegonga tu maana Formula yenyewe imeshindwa kusolve hesabu,Tutapobadili Formula 2015 Ndio Jibu Litapatikana.Unajua hata Dr.Slaa alipokuwa anatangaza kwamba Mashangingi kwa Serikali ni anasa na mzigo kwa Walipa kodi alimaanisha Magari ya Serikali kama vile ya wabunge,mawaziri & Naibu wao,Wakuu wa Mikoa,wilaya na Wakurugenzi n.k. LAKINI hakumaanisha kwamba Lowassa usinunue Shangingi,Rejao Usinunue Shangingi,Kipeke Usinunue Shangingi.Why?Wakati ni Pesa yako na Unayo!Iwe kwa mkopo wa Ubunge au whatever is excellent.TATIZO ni Kwanini Hiyo Dolla yaani Serikali Isiwakopeshe wabunge Pesa za Kutosha Bajaji?Kwa sababu mimi namwambia Mke wangu sina pesa usinunue Nyama,lakini Nilishamwambia matumizi ya pesa ninayokupa unauhuru wa kununua upendacho tule hapa ndani sio.Sasa nimempa 10,000/=,unataka anunue bamia na mkunungu?mpe 2000/= uone kama atanunua hizo pochozi!!!
Bla bla nyingi za nini?
Nasisitiza CDM watoe sera za jinsi ya kuendesha serikali kwa tija inayotokana na kupunguza matumizi ya uendeshaji.

Bla bla hizi Kama hapo juu zinaonyesha kuwa ni kazi rahisi sana kulaumu tu kuliko kutengeneza mipango mbadala yenye tija na matumizi nafuu kwa serikali.
Kwa mapana Yake matumizi yasiyo na tija serikalini haitokani na mashangingi na posho tu.
CDM itabidi wafanye utafiti wa kutosha kabla ya kujikita katika petty issues.
 
wewe ni bogas kabisa ni sawa na masaburi unashindwa hata kutofautisha kitu kinachonunuliwa na kodi za watanzania wavuja jasho na zinazo2miwa na CDM au kodi inalipwa kwa CDM ckuiz?kama ni kweli 2tasema wana2mia vibaya mali ya uma lakini km c hivyo hebu nenda kafikiri vizuri.

Kwanza nikuulize. Hivi usingeweza kujenga hoja yako ya kuipinga hoja yangu bila ya kuandika hilo neno nililoli-bold?

Wengi wa walioipinga hoja yangu wameongea kama vile mimi sielewi nani anakusanya kodi na serikali inatumiaje kodi inayokusanya. Kiuhalisia serikali kukusanya kodi na kuigawanya kwa matumizi ya serikali ni mambo mawili tofauti. Kodi inayotumika kulipa wafanyakazi wa kufagia maofisi ya serikali ndiyo hiyo hiyo inayotumika katika kulipa posho wabunge na mawaziri wa serikali. Hakuna Kodi inayokusanywa maalum kwa ajili kuwalipa wabunge marupurupu yao.

Hoja yangu hapa ni ya kimaadili. Mtu mkweli utamtambua kwa matendo yake, ndiyo maana nasema nguruwe akiuzwa uswahilini au super market wote ni nguruwe na bado watakuwa ni haramu kwa waislamu na wasabato. Kama wao CHADEMA walisema matumizi ya mashangingi ni hasara kwa serikali basi wangeonyesha kwa vitendo kwa.

Nimetoa mfano wa baadhi ya wabunge ambao kwa hakika walikuwa hawana hata uwezo wa kununua Baiskeli lakini leo wanamiliki VX kama vyombo vyao vya usafiri. Makadirio ya kuwapa wabunge mafuta yanatokana na aina ya magari ambayo wabunge wengi wanatumia. kama wabunge wengi wa CHADEMA wangekuwa na magari mdogo yanayotumia mafuta kidogo ni pesa ngapi za walipa kodi zingeokolewa kwa wabunge hao kutumia magari ya "kawaida"?

Sisi ambao tunafika kwenye viwanja vya bunge mara kwa mara tunajua siyo tu wabunge wa CCM hata wabunge CHADEMA nao huwa hawaji na magari yao DODOMA lakini bado tu wanachukua na posho ya kuyahudumia magari yao wakiwa DODOMA.
 
CHADEMA ilitoa hoja za msingi sana wakati wa Kampeni za Mwaka 2010 na zikakubalika na wananchi wa Tanzania.

Mgombea Urais wakati huo MH: Willbroad Peter Slaa na wagombea wa nafasi za Udiwani na Ubunge walikuwa wanatoa tuhuma kwamba serikali iliyopo madarakani inafuja fedha za wananchi kwa kununua magari ya kifahari aina ya Land Cruiser VX na V8 wakati fedha hizo zingetumika vizuri zingeleta maendeleo kwa wananchi. Katika kukoleza hoja hiyo ikaaminishwa kwamba kama CHADEMA ikishika madaraka basi magari hayo ya kifahari yatauzwa na madala yake yatanunuliwa magari madogo ya bei rahisi.

Slaa alikuwa anasema aina ya magari yanayotumiwa na Wakuu wa Wilaya na Mikoa thamani yake ni sawa sawa na gari moja kujenga Zahanati Nne vijijini. Wanachi waliambiwa kwamba magari hayo yatauzwa na fedha itakayopatikana itatumika kuwekeza kwenye Elimu.

Baada ya uchaguzi wa Mwaka 2010 viongozi wa CHADEMA hawatumii VX au V8 kwa matumizi ya kichama na yao binafsi, au thamani ya magari hayo imeshuka baada ya wao kuanza kuyatumia?

UKIKEREKA SEMA UPENDAVYO!!

Sasa kwa akili yako chadema imeshika nchi sasahivi au ccm ndio wanaongoza nchi sasahapo unapaswa kuilaumu Cdm au Ccm mbona unaongea sana kama radio free afrika
 
CHADEMA ilitoa hoja za msingi sana wakati wa Kampeni za Mwaka 2010 na zikakubalika na wananchi wa Tanzania.

Mgombea Urais wakati huo MH: Willbroad Peter Slaa na wagombea wa nafasi za Udiwani na Ubunge walikuwa wanatoa tuhuma kwamba serikali iliyopo madarakani inafuja fedha za wananchi kwa kununua magari ya kifahari aina ya Land Cruiser VX na V8 wakati fedha hizo zingetumika vizuri zingeleta maendeleo kwa wananchi. Katika kukoleza hoja hiyo ikaaminishwa kwamba kama CHADEMA ikishika madaraka basi magari hayo ya kifahari yatauzwa na madala yake yatanunuliwa magari madogo ya bei rahisi.

Slaa alikuwa anasema aina ya magari yanayotumiwa na Wakuu wa Wilaya na Mikoa thamani yake ni sawa sawa na gari moja kujenga Zahanati Nne vijijini. Wanachi waliambiwa kwamba magari hayo yatauzwa na fedha itakayopatikana itatumika kuwekeza kwenye Elimu.

Baada ya uchaguzi wa Mwaka 2010 viongozi wa CHADEMA hawatumii VX au V8 kwa matumizi ya kichama na yao binafsi, au thamani ya magari hayo imeshuka baada ya wao kuanza kuyatumia?

UKIKEREKA SEMA UPENDAVYO!!

Kuna mmoja wao ananifurahisha sana - yaani shangingi lake kalificha home kwenye public anaenda na vitz ili apate huruma ya wa TZ.
 
Sitaki kuwa shabiki wa chama chochote, ila ukweli usemwe, sera ya chama si sera ya mtu. Kila mtu ana interest za kwake, kwangu naona hamna hoja ya msingi zaidi ya maslai kwa umma.Ukiona au kusikia watu wakiongea kuwa kuna kosa usijue au usilielewe kosa basi we ni tatizo au chanzo cha hilo tatizo.usiongee eti tu umepewa kofia au babu, mjomba, binamu, shemeji yupo kwenye system, talk about the reality.
 
usikurupuke tofautisha kati ya magari serikali ambayo yananunuliwa kwa kodi za wananchi na magari ya binafsi.

Una maanisha nini unaposema magari binafsi?langu mimi mlalahoi ambae nimeuza mashamba ya urithi nikanunua corolla yangu na kuifanya teksi bubu au unamaanisha mashangingi wanayokopeshwa wabunge wa vyama vyote kikiwemo chadema?
 
Kwanza nikuulize. Hivi usingeweza kujenga hoja yako ya kuipinga hoja yangu bila ya kuandika hilo neno nililoli-bold?

Wengi wa walioipinga hoja yangu wameongea kama vile mimi sielewi nani anakusanya kodi na serikali inatumiaje kodi inayokusanya. Kiuhalisia serikali kukusanya kodi na kuigawanya kwa matumizi ya serikali ni mambo mawili tofauti. Kodi inayotumika kulipa wafanyakazi wa kufagia maofisi ya serikali ndiyo hiyo hiyo inayotumika katika kulipa posho wabunge na mawaziri wa serikali. Hakuna Kodi inayokusanywa maalum kwa ajili kuwalipa wabunge marupurupu yao.

Hoja yangu hapa ni ya kimaadili. Mtu mkweli utamtambua kwa matendo yake, ndiyo maana nasema nguruwe akiuzwa uswahilini au super market wote ni nguruwe na bado watakuwa ni haramu kwa waislamu na wasabato. Kama wao CHADEMA walisema matumizi ya mashangingi ni hasara kwa serikali basi wangeonyesha kwa vitendo kwa.

Nimetoa mfano wa baadhi ya wabunge ambao kwa hakika walikuwa hawana hata uwezo wa kununua Baiskeli lakini leo wanamiliki VX kama vyombo vyao vya usafiri. Makadirio ya kuwapa wabunge mafuta yanatokana na aina ya magari ambayo wabunge wengi wanatumia. kama wabunge wengi wa CHADEMA wangekuwa na magari mdogo yanayotumia mafuta kidogo ni pesa ngapi za walipa kodi zingeokolewa kwa wabunge hao kutumia magari ya "kawaida"?

Sisi ambao tunafika kwenye viwanja vya bunge mara kwa mara tunajua siyo tu wabunge wa CCM hata wabunge CHADEMA nao huwa hawaji na magari yao DODOMA lakini bado tu wanachukua na posho ya kuyahudumia magari yao wakiwa DODOMA.

Mkuu hoja yako ni nzuri kabisa na inaeleweka kirahisi tu wala si ngumu kiivyo sema imetekwa na wahuni wa chadema waliojazana humu na kuamua kujaribu kuipotosha kwa makusudi ili isieleweke kwa maslahi wanayoyajua wao,wenye akili na tunaotumia kichwa cha juu kufikiri tulishakuelewa since day one,achana nao hawa jamaa pasua kichwa!
 
Mkuu Ringo Edmund,

Mi mzima bu heri wa afya isipokuwa mfuko umekauka unajua pasaka ilikomba vijisenti vyangu vyote.Mkuu RE unajua kuna tatizo ambalo limekuwa likinisumbua kwa muda mrefu sana na mbaya zaidi nimeanza kuona hii hali hata mitaani wanzi wa CDM hawataki kukosolewa,kuulizwa jambo lolote,kudadisiwa na nk.Ukiuliza swali hawakawi kukupachika majina ya kuzimu maana ya hapa dunia wamashamaliza yote.

Mkuu Kingarama kauliza swali dogo sana nilitegemea watakuja watendaji,wapenzi au viongozi wa CDM kutoa ufafanuzi including lile sakata V8 la KU limemalizika vipi !.Badala ya majibu mjadala unaelekezwa kwenye kejeli au hii ni mbinu ya kuficha maovu ?.

chadema kimejaa wahuni,wametumwa humu kuja kushut down hoja kwa kutumia kejeli,mbinu ambayo hata hivyo haijawahi kuwasaidia sana,tunatka slaa aje atoe ufafanuzi sio hawa chadema kata ya kibororoni,slaa amekua mwepesi sana kuchagua hoja za kujibu tunampa changamoto popote alipo hata kwa kumtumia shemeji shumbusho ambae nae ni mwenzetu mzuri tu humu waje watoe ufafanuzi zaidi kama nape ambavyo amekua akifanya kwa ccm ama jully mtatiro kwa cuf,tuache uoga
 
CHADEMA ilitoa hoja za msingi sana wakati wa Kampeni za Mwaka 2010 na zikakubalika na wananchi wa Tanzania.

Mgombea Urais wakati huo MH: Willbroad Peter Slaa na wagombea wa nafasi za Udiwani na Ubunge walikuwa wanatoa tuhuma kwamba serikali iliyopo madarakani inafuja fedha za wananchi kwa kununua magari ya kifahari aina ya Land Cruiser VX na V8 wakati fedha hizo zingetumika vizuri zingeleta maendeleo kwa wananchi. Katika kukoleza hoja hiyo ikaaminishwa kwamba kama CHADEMA ikishika madaraka basi magari hayo ya kifahari yatauzwa na madala yake yatanunuliwa magari madogo ya bei rahisi.

Slaa alikuwa anasema aina ya magari yanayotumiwa na Wakuu wa Wilaya na Mikoa thamani yake ni sawa sawa na gari moja kujenga Zahanati Nne vijijini. Wanachi waliambiwa kwamba magari hayo yatauzwa na fedha itakayopatikana itatumika kuwekeza kwenye Elimu.

Baada ya uchaguzi wa Mwaka 2010 viongozi wa CHADEMA hawatumii VX au V8 kwa matumizi ya kichama na yao binafsi, au thamani ya magari hayo imeshuka baada ya wao kuanza kuyatumia?

UKIKEREKA SEMA UPENDAVYO!!
acha uvivu wa kufikiri wewe!! hivi hauoni ubadhirifu unaofanywa na serikali yenu ya ccm?
 
chadema kimejaa wahuni,wametumwa humu kuja kushut down hoja kwa kutumia kejeli,mbinu ambayo hata hivyo haijawahi kuwasaidia sana,tunatka slaa aje atoe ufafanuzi sio hawa chadema kata ya kibororoni,slaa amekua mwepesi sana kuchagua hoja za kujibu tunampa changamoto popote alipo hata kwa kumtumia shemeji shumbusho ambae nae ni mwenzetu mzuri tu humu waje watoe ufafanuzi zaidi kama nape ambavyo amekua akifanya kwa ccm ama jully mtatiro kwa cuf,tuache uoga

wewe ni gay. Haiwezekani mtoto wa kiume ujiite kim kadash.

Pumbaaf zako mtumwa wa nape wewe.
 
WEWE NI GAY. HAIWEZEKANI MTOTO WA KIUME UJIITE KIM KADASH.

PUMBAAF ZAKO MTUMWA WA NAPE WEWE.

shwain zako....
 
Nazungumzia "consistency" ya chama kwenye mambo wanayoyapigania wakati wa Kampeni. Kusema akili yangu mbovu hakuondoi ukweli kwamba hata hayo mashangingi ya CHADEMA yananunuliwa na kwa kodi za wananchi. Wewe hujui kuna baadhi ya wabunge kabla ya kuwa wabunge hata Baiskeli walikuwa hawana uwezo wa kununua.

Unajisahaulisha kwamba wabunge wote walipewa mkopo wa shilingi Milioni 90 na ofisi ya Bunge kwa ajili ya kununulia magari yao?
Kwa hiyo yule mbunge mziniz aliyefumaniwa Igunga akiwa na mke wa mtu, alikuwa anazinzika kwa kodi ya wananchi???
 
wewe ni gay. Haiwezekani mtoto wa kiume ujiite kim kadash.

Pumbaaf zako mtumwa wa nape wewe.

Acha mawazo mpauko wewe,hebu niambie ni lini na wapi kwanza nimewahi kukwambia ama kutamka kwamba mimi ni mwanaume???usipende kuishi kwa hisia zaidi.
 
WEWE NI GAY. HAIWEZEKANI MTOTO WA KIUME UJIITE KIM KADASH.

PUMBAAF ZAKO MTUMWA WA NAPE WEWE.

shwain zako....

kama huko kwenu mwanamke anaweza kuwa gay it sounds cool to me unless hujui maana ya neno lenyewe umemsikia tu analopoka hilo neno pengine mtoto wako na wewe ukalibeba kama lilivyo na kuja nalo hapa,kwa kukusaidia tu nenda google then type hilo neno pale halafu click search utapata maana yake halisi then urudi kufanya marekebisho baada ya kubaini u.p.u.u.z.i wako wa kutumia maneno bila kujua maana yake
 
CHADEMA ilitoa hoja za msingi sana wakati wa Kampeni za Mwaka 2010 na zikakubalika na wananchi wa Tanzania.

Mgombea Urais wakati huo MH: Willbroad Peter Slaa na wagombea wa nafasi za Udiwani na Ubunge walikuwa wanatoa tuhuma kwamba serikali iliyopo madarakani inafuja fedha za wananchi kwa kununua magari ya kifahari aina ya Land Cruiser VX na V8 wakati fedha hizo zingetumika vizuri zingeleta maendeleo kwa wananchi. Katika kukoleza hoja hiyo ikaaminishwa kwamba kama CHADEMA ikishika madaraka basi magari hayo ya kifahari yatauzwa na madala yake yatanunuliwa magari madogo ya bei rahisi.

Slaa alikuwa anasema aina ya magari yanayotumiwa na Wakuu wa Wilaya na Mikoa thamani yake ni sawa sawa na gari moja kujenga Zahanati Nne vijijini. Wanachi waliambiwa kwamba magari hayo yatauzwa na fedha itakayopatikana itatumika kuwekeza kwenye Elimu.

Baada ya uchaguzi wa Mwaka 2010 viongozi wa CHADEMA hawatumii VX au V8 kwa matumizi ya kichama na yao binafsi, au thamani ya magari hayo imeshuka baada ya wao kuanza kuyatumia?

UKIKEREKA SEMA UPENDAVYO!!
Hoja ya hayo mashangingi bado iko palepale bila kujali kama CHADEMA wanatumia au la. Hoja ya msingi ni kuwa fedha nyingi sana zinatumika kununulia magari kwa matumizi yasiyo ya msingi. Waziri Mkuu Pinda wakati anakuwa kwenye hicho Cheo alisema kuwa angesimamisha UNUNUZI WA MAGARI HAYO. Hilo pekee linaonyesha kwa sisi wote tunayachukia matumizi hayo IKIWEMO SERIKALI YENYEWE. Hoja iko palepale hayo magari hayahitajiki. Hivi brother unajua kuwa hayo magari huwa yananunuliwa mengi kufikia mpaka 1,000? Tuwe wazalendo, tupinge mabaya. Chadema wanatumia magari yao kwa kazi inayoonekana wakati yale ya serikalini ni ya ANASA TU! TUIPENDE TANZANIA, TUCHUKIE MATUMIZI MABAYA.
 
Kwa hiyo yule mbunge mziniz aliyefumaniwa Igunga akiwa na mke wa mtu, alikuwa anazinzika kwa kodi ya wananchi???
Kabisa ndugu yangu!! Sisi tunadharau lakini kuna mgombea Urais (jina nimelisahau) kwenye uchaguzi wa Marekani mwaka 2008 alishitakiwa kwa kutumia hela alizochangiwa kwa ajili ya Kampeni yeye akatumia baadhi hela hizo kwa kununulia gauni la hawara yake. Wamarekani fedha binafsi ni zile unazozipata kwa kuuza makongoro na baada ya kulipa kodi yao na siyo hizi zinazotokana na wewe kuwa mwakilishi wa wananchi.

Suluhisho la suala hili ni kwa serikali kununua magari kwa ajili ya ofisi ya za wabunge na si kwa ajili ya wabunge. Leo hii ni wabunge wangapi ambao hawakuchaguliwa tena na wananchi mwaka 2010 wanayatumia magari waliyoyapata kwa kuwa wawakilishi wa wananchi mwaka 2005 wanayatumia magari hayo kwa manufaa ya wananchi. Kwa nini Magari hayo yasiwe ya Ofisi ya Mbunge badala ya kuwa ya wabunge?
 
kama huko kwenu mwanamke anaweza kuwa gay it sounds cool to me unless hujui maana ya neno lenyewe umemsikia tu analopoka hilo neno pengine mtoto wako na wewe ukalibeba kama lilivyo na kuja nalo hapa,kwa kukusaidia tu nenda google then type hilo neno pale halafu click search utapata maana yake halisi then urudi kufanya marekebisho baada ya kubaini u.p.u.u.z.i wako wa kutumia maneno bila kujua maana yake

Wewe ni nguruwe tu. Huna hoja mtumwa wa magamba wewee.
 
Wewe ni nguruwe tu. Huna hoja mtumwa wa magamba wewee.

Eeeh basi kazi mwaka huu kama mtu yeyote anaetofautiana na chama cha kususa na kuandamana a.k.a.vinega anapoteza haki ya kuwa binadamu badala yake anakua nguruwe...!

Kiufupi wewe ni muoga na umeishiwa hoja,mana ulianza kwa kuniita mimi gay,nikakusahihisha kwa kukwambia bwana mkubwa katafute maana ya gay kwenye dictionary then urudi kivingine cuz siwezi kuwa mwanamke halafu nikawa mimi huyo huyo tena nikawa gay..!hiyo haiyumkiniki.. umekuja kinguruwe nguruwe tena sasa tutakusaidiaje na tumekukaza kitako kukujuza kwamba sivyo hivyo unakosea kuparamiwa badala ya kupara samaki kaka bado huelewi mpaka tumwage mchele hadharani,hatutaki tunakufanyia staha maana unayoyafanya hayapendezi hasa kwa mtoto wa kiume ambae hana historia ya kuangukiwa na kitovu akiwa mtoto ama kupasuliwa yai bichi kama dawa ya kuacha ulevi kupindukia..!
 
Back
Top Bottom