Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,455
- 283,794
Hizi thread zingine mnazianzisha ilimradi muweze kujifirahisha na kurusha mawe. Mtu yoyote mwenye uelewa kidogo zaidi ya punje ya mchele anajua kazi kubwa iliyofanyika Bumbuli ndani ya miaka 4 iliyopita.
Yaani, kwa mtazamo wangu kitendo cha thread zinazohusu maendeleo ya Bumbuli kuongelewa sana, inaonyesha tu January amefanikiwa kuiweka Bumbuli kwenye ramani. Maana watu hawajadili Monduli, Karatu, Hai, Arusha mjini, Mtama, Mpanda, nk. Big up JM.
mkuu selemani HIVI KAMA BARABARA IKO NAMNA HII KWA MVUA HIZI ZA MAEMBE , JE ITAKAPOFIKA MASIKA ITAKUWAJE ?