Hodi Hodi.... NIMEJIREKEBISHA WAKUU...........!!

NOT FOUND

Senior Member
Mar 14, 2011
158
59
Naahidi kuwa mwanachama mwema wa J.F

Wale wote niliowakosea tusameheane,

tunajenga nyumba moja hivyo tusigombane kwa sababu ya kugombea fito.

-

Regards

[*****]
 
Lazima ujirekebishe maana hapa hakuna linaloshindikana.Karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom