Recent content by nosimo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yampa ushindi Baba wa Mawazo, Mawazo kuagwa na kuzikwa kwa heshima zote

    Jamani saa zingine tunadai police, police, polisi polisi, wakati hao wanasalimu chini ya mamlaka!!
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2015 Team Magufuli tukutane hapa tushangilie ushindi!

    Waacheni waandamane ooooh! CCM mbele kwa mbele.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Warning: Kwa mnaouza gesi za Oryx na Mihan, wajanja wamerudi mjini

    Daah! Asante sana sisi watumiaji wa mwisho/majumbani ndo tuna taabu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania ITV, mnatufundisha sheria za kuvunja ndoa zetu via dini zetu

    Usikute ni kipindi cha jana!!!!!????
  5. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Kijana wa Arusha aolewa na mzungu UK

    Pole sana mkuu!!!!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa CCM adaiwa kumnajisi mtoto wake

    Wanaume bwana!! Mmmmmm!!! Sababu 1. alihisi/ na bado anaendelea kuhisi mtoto huyo si wake! Alafu km kulikuwa na mvutano baina yao ameamua kwa makusudi kufanya hivyo. ( mama itabidi afunguke vizuri) 2. sababu za kishirikina ( apnde cheo, apendwe na watu na wamteyemekee km Mh Magufuli nk.. I...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Muuguzi akamatwa na dawa za serikali Shinyanga

    Itabidi afukuzwe kazi au asimamishwe kupisha uchunguzi!! Hapa kazi tu.. Wizi peleka.........!!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mungu awe nanyi vigogo wa HESLB

    Hivi kuna watu wanasoma education wanakosa mkopo??! Mhhh pole sana daaah!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kizazi kushuka na tiba yake

    Teh! Teh teh teh teh teh!!!! Huuuuuuu!!!! Hii inaitwa thinking beyond the box!!!!
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake: Kama unampenda mumeo, mpende na mama mkwe

    Daaah pole!!! Afu ungekuwa Mimi siku hiyo ningenunua chipsi na kuku mzima Nile nilale nisipike ndo ajue kuwa mie nae ni moto! Yaani angeisomaa namba.
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake: Kama unampenda mumeo, mpende na mama mkwe

    Mkuu lakini sio wooote100% watakosa LA kusema, mwingine atasema ni hela za mwanae hizo unajidai nazo!!
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake: Kama unampenda mumeo, mpende na mama mkwe

    Upopo una raha saaaana!!!Dawa ya mama mkwe ni vitenge tuuu akija Kurembea uau kutibiwa mpe kuku samaki na nyama tuu( akifika kwake km ana gubu anaanza kuwaambia watu kuwa mkwewe kamuachia njaa wao wanakula kuku tuu wakati Yy wanakula maharage na njegere) ! Na mwezi usiishe km mwanae yupo vizuri...
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake: Kama unampenda mumeo, mpende na mama mkwe

    Upopo una raha saaaana!!!Dawa ya mama mkwe ni vitenge tuuu! Na mwezi usiishe km mwanae yupo vxr ampe hata ya bili ya maziwa.. Japo hawariziki!! Oiiiii!!!!iyaaaaaa!!!!!????
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake: Kama unampenda mumeo, mpende na mama mkwe

    Mhhhh!!!! Acheni tu! Bado aanze kuhisi mwanae amepata pesa!!! Mhhhh ukivaa makenze ni shiiiidah!!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kunenepesha makalio

    Mwenyewe nasubiria majibu yake!
Back
Top Bottom