Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,842
- 10,766
Wakuu, nikiwa na tune radio yangu nimekutana na hii habari toka RFA. Muuguzi huyu amekamatwa na wananchi wakati akiwa ametoka hospitali na makopo ya dawa (kopo moja la paracetamol mengine sikusikia ). Ilichonishitua ni kauli ya muuguzi huyo kutamba eti si ninyi mlimchagua Magufuli!? Akiwaambia wananchi.
Mpaka sasa yupo polisi na uchunguzi unaendelea. Daktari mkuu amethibitisha kutokea tukio hilo na kwamba uchunguzi wa awali unaonyesha batch number ni za dawa za hospitali hiyo. Bahati mbaya nimesikia habari hii hatua za mwisho wananchi wakihojiwa hivyo baadhi ya info zinakosekana.