Recent content by nombo toby

  1. nombo toby

    Elimu ya Tz inakufa

    Hadithi za Abunuas zinaelekea kupata mashiko nchini Tanzania. Ng'ombe kumnyonyesha sunguru. Suala la walimu wenye saikolojia na misingi ya sekondari sasa kulazimishwa kufundisha shule ya msingi. Najiuliza, hao waliotoa maamuz hayo wamesoma ktk vyuo gani? Walifuzu ama walihitimu? Cna Shaka...
  2. nombo toby

    Kuna ukweli juu ya kufutwa kwa uhamisho wa 2016-2017?

    Hivi kuna ukweli wowote juu ya kufutwa kwa uhamisho wa 2016-2017 ambao ulisitishwa kwa muda?
  3. nombo toby

    Magufuli ondoa bugudha ya kuchelewesha ajira za walimu

    cku hizi ukimsikia mtu hususan kiongoz anamtaja sana mungu ujue ni fisadi na ni mtu asiyejali matatizo ya wengine. naye atahukumiwa tu. mtumishi Wa umma cku hiz amekuwa mtumwa.
  4. nombo toby

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    uhamisho haupo, hayo ndio madhara ya kumchagua mfalme asiye jali watumish wake. hiv hajiuliz kwa nn watu wanaomba uhamisho? shida za watu hazijui? kwa nn anahukumu wenzake? malipo hapahapa duniani.
  5. nombo toby

    uhamisho

    oyoo
  6. nombo toby

    Elimu ya juu huleta umasikini

    hakuna aliyesema watu wasisome. unabadilisha mada ili iweje? au na wewe ni kat ya wasom tunao ongelea?
  7. nombo toby

    Elimu ya juu huleta umasikini

    asante kwa kumuunga mkono mtoa Uzi.
  8. nombo toby

    Uhamisho kada ya elimu

    kadenge! tupatie sir hiyo
  9. nombo toby

    Ushauri kwa walimu wa arts waliokosa ajira..

    mwaka huu kama wataajiri walimu was arts ni kwa ajiri ya kufurahisha umma. Ajira za walimu was arts zitatolewa 2019 kama njia mojawapo ya kuomba kura. na walimu haohao wanaolia Leo ndio watakao toa kura zao
  10. nombo toby

    Majibu ya serikali kuhusu wanaosubiri ajira za ualimu

    suala la mikopo halina tija kwa watu ambao hawaajirili ktk fan zingine ukiachana na ualimu wanalipaje mikopo? kwa kifupi serikali inadanganya umma na haitaki kusema kweli juu ya ajiri kama ilivokuwa miaka ya nyuma
  11. nombo toby

    Kama Kairuki alikuwa anamaanisha juu ya ajira za walimu tumsubiri tar 25/02/2017

    Aliyeshiba hamjui mwenye njaaa, huwa najiuliza maswali lakini sipat jibu, hiv viongoz wenye mamlaka ya kutoa ajira wao hawakuajiriwa? uhakiki ambao hauna kikomo ni mpango ulioletwa na nani tz? kama hajira hazipo kwa nini wasiseme tukajua? kama serkal haina pesa kwa nn wasiseme tukae tunajua?
  12. nombo toby

    Uhamisho kwa watumishi wa umma 2017

    Ni kitendawili kisichoteguka juu ya suala la uhamisho tangu msukuma akalie kiti. watumishi wanakufa kutokana na kuwa mbali na huduma, mfano wagonjwa. familia kusambaratika, wagonjwa kukosa huduma kutoka kwa watoto, maambukiz ya magonjwa kuongezeka, watu wanateseka na hali ya hewa (allergies) Je...
  13. nombo toby

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Tatizo ni raise, amaanzisha mambo nakusahau kuwa kunamambo alisitisha na inatakiwa aruhusu. atakuwa amesahau labda angekumbushwa
Back
Top Bottom