Hivi uhamisho wa kubadilishana unatakiwa ukae muda gani kituoni ili uweze kuhama?
Maana binafsi nimekataliwa nimeambiwa mpaka nikae miaka mitatu.Naomba anayejua anijuze.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.