nombo toby
Member
- Aug 9, 2016
- 47
- 41
Ni kitendawili kisichoteguka juu ya suala la uhamisho tangu msukuma akalie kiti. watumishi wanakufa kutokana na kuwa mbali na huduma, mfano wagonjwa. familia kusambaratika, wagonjwa kukosa huduma kutoka kwa watoto, maambukiz ya magonjwa kuongezeka, watu wanateseka na hali ya hewa (allergies) Je, huyo aliyesitisha uhamisho sio binadamu? kwa nini anawahukumu wengine?