Magufuli ondoa bugudha ya kuchelewesha ajira za walimu

Magufuli ondoa bugudha ya kuchelewesha ajira za walimu

cku hizi ukimsikia mtu hususan kiongoz anamtaja sana mungu ujue ni fisadi na ni mtu asiyejali matatizo ya wengine. naye atahukumiwa tu. mtumishi Wa umma cku hiz amekuwa mtumwa.
 
Hivi hii ni haki wahitimu kukaa mwaka mzima mtaani? Hadi content zinapotea. Ni bora uwepo utaratibu wa kuwaajiri hawa walimu hata mwezi wa kwanza wa kila mwaka, walau wawe mtaani kwa miezi mitano. Inawatosha kuwapa nidhamu ya kukubali popote watakapopangiwa vituo vya kazi hata kama ni kijijini wataenda.
ww kijana kumbe tangu 2015 hujaajiriwa tu
 
Leo nimeona humu walimu wengi wanafuraha kwa kuulizia juu ya maeneo waliyopangiwa kazi. Ajira zinaendelea, nawatakia walimu wote kila la kheri. Bila ninyi tusingekuwa tulipo leo hii, kwa muongozo wenu. Walionifundisha ambao niliwapenda na niliwaelewa hata kama nilikuwa nasinzia ha ha haaa nataka niwatafute, niwape holiday ya kupaa pipa kwenda mahala na partners wao ya kuwapa furaha pia.

Hapa kazi tu
 
Back
Top Bottom