Air Tanzania: Ndege iliyonunuliwa imeharibika, mainjinia zaidi ya 50 waneshindwa kutengeneza

Status
Not open for further replies.
Mmmh mange anapenda kukolozea... labda aseme tu ni mbovu.. inamaana walioitengeneza wanashindwa kurepair au kuleta kifaa kipya.. warant ndo kusema ishaisha..???
 
Tumeuziwa ndege za mtumba ambazo ni mbovu juzi nilikuwa na mdogo wangu alitakiwa kutoka Dar saa nane na dakika 10 kuja Arusha badala wametoka Dar saa tatu usiku kuja Arusha kwa sababu pangaboi moja mbovu aibu sana ndege ambazo zilinunuliwa kwa mbwebwe zimeshaanza kuharibika. Watu wengi ambayo siyo wafanyakazi wa serikali watarudi kutumia usafiri wa ndege za Fasjet
 
Uongo, labda useme hakuna pesa ya kutengeneza. Dunia hii kisichotengenezeka kikiharibika ni roho tu, mxhenzi sana huyu malaya.
Acha upuuzi wewe! Kwahiyo hutaki watu wajue au? Kuna hana gani kutukana?
Hilo ni kama pembe la ng'ombe halifichiki bwege we!
 
Mainjinia 50? Isije ikawa wale vijana wetu pale NIT wanafanya practical nyie mnadhani imewashinda.
Waniite nikaitie spana za ukweli kama haijaruka leo kwenda Chato.
Hata hivyo bombardier tumeshamaliza kuzijadili leo tupo kwa Mkurugenzi wetu rafiki wa Seth
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom