Recent content by Nolasc

  1. Nolasc

    Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Sio lazima utumie ugali kama chakula na pia ukumbuke kuwa wakulima walipokuwa wanapata hasara hakuna aliyewasemea hivyo ni wakati mzuri wa wakulima kurudisha kilichopotea
  2. Nolasc

    Kwanini Watanzania wengi hawajui/hawafanyi Biashara za Exportation kwenye mazao ya Kilimo?

    Biashara ya export inalipa maana ukiwaona wanunuzi wa avocado wanaponunua njombe mpaka wanagombana hasa ulaya product zikiisha. Hivyo tunapaswa kufuatilia kwa makini ili tujue zinaendaje tuache uoga.
  3. Nolasc

    Majuto: Mchepuko anataka kunipeleka kwa Makonda

    Ningekuwa mm ningewaambia watu wa mtandao nimekosea kutuma hela
  4. Nolasc

    Niulize chochote kuhusu Uchimbaji Mdogo wa Dhahabu na mambo mengine yanayohusiana na hayo

    Mimi swali langu ni jinsi ya kufanya utafiti kama eneo lina madini ya aina gani na gharama zake
  5. Nolasc

    Mke wangu nimfanye kitu gani? Anatembea na mfanyakazi mwenzie

    Hongera kwa moyo Wa uvumilivu maana wengine hatuna moyo huo kwenye hayo mambo!
  6. Nolasc

    Kipimajoto ITV miaka 18 bila Baba wa Taifa; Je, misingi ya utaifa aliyosimamia inaenziwa na kuendelezwa

    Hajapwaya ila kila mtu pale anataka mawazo take yaonekane sawa na pia siasa za mlengo tifauti pia zinachangia
  7. Nolasc

    Wanawake wanene na wenye makalio makubwa ni wazuri kwa kuwatazama tu

    Kila mtu anasifia anachokipenda na kuridhika nacho Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Nolasc

    C.I.A na Google wanakusanya fingerprints kupitia touchscreens za smartphone na tablets.

    Hata wakikusanya mwenye hofu ni yule mharifu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Nolasc

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo kama tukitulia beting ina hela. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Nolasc

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pia kama una mtaji mkubwa unaweza kucheza zile above 0.5 goals zina uhakika zaidi kupata Pesa kama unaamini goal moja litapatikana full time niliweka 50000 nikapata 150000 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Nolasc

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo hobro kanishughulikia mapema! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Nolasc

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Lakini namshukuru mungu niliweka ukumbusho kwa kupata friji mpya. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Nolasc

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Iliniuma zaidi kwani akilini mwangu nilijua nimempa dynamo Moscow Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Nolasc

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivyo ndivyo ilivyotokea Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Nolasc

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimekupata mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom