Ndugu zangu, hasa wale wanacheza michezo ya kubahatisha, kampuni hii ya Betika ni matapeli lakini Bodi ya Bahati Nasibu bado ina wacheki tu.
1. Kampuni inaruhusu kudeposit tu! Hata milioni we deposit ila kutoa hela hairuhusu hata siku moja.
2. Hairuhusu withdraw yoyote ile hivyo ukiweka fedha...
Pole sana. Ugonjwa huu ni wa kawaida sana,(bawasiri) huo uvimbe unaouona ni kujaaa kwa damu kwenye mishipa iliyolegea..
Njia moja ya matibabu ni hizo dawa ulizopewa zina julikana kama hemorrhoids suppositories. Nadhani ulielekezwa at least kila siku ukae kwenye maji ya vuguvgu kwenye dish walau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.