Nimepata uvimbe sehemu ya haja kubwa. Napata maumivu makali nikitembea

braity

JF-Expert Member
May 24, 2020
353
440
Ndugu zanguni ni mara ya pili naingia kwenye huu uzi walau nione kama naweza pata tiba ambayo inaweza kunisaidia. Ni mara ya pili napatwa na ugonjwa huu mara ya kwanza docta hakunielezea ni ugonjwa gani bali alinipa dawa tu.

Baada ya miez mitano yaani sasa umejirudia tena ndipo docta wa hospitali nyingine niliyokwenda akaniambia ni Bawasiri. Halikuwa neno geni sana kwangu kwa kuwa nishawahi kulisikia japo sikuwa najua bawasiri inafananaje. Kuna dawa alinipa docta ambayo nilikuwa napachika sehemu ya haja kubwa kwa sasa ni kama nina nafuu.

Huu ugonjwa kwakweli umenitisha sana maana unavimbisha sehemu ya haja kubwa na napata maumivu makali hasa wakati wa kutembea na wakati wa kwenda haja kubwa.

Kwa mara ya mwisho docta ameniambia km dawa itashindwa inabidi nifanyiwe operation ya kukata. Hapa alinichanganya zaidi akili yangu. Ombi langu kwenu wadau ni dawa gani ya asili yaweza tibu hii kitu maana akili kisaikolojia haipo sawa sasa. Naomba msaada wenu tafadhali
 
kama hujapata jawabu la kudumu njoo pm . ukipona kawaonyeshe makuhan
 
Bawasili ni kinyama kinachojitokeza ktk njia ya haja kubwa na kusababisha maumivu makali hasa wakati wa kjisaidia, chanzo cha bawasili ni, kuchuchumaa choooni muda mrefu, kujisaidia choo kigumu , mapenzi kinyume na maumbile, paka colget unapolala na unapoamka yaani mara 2 kwa cku kisha uje ulete mrejesho kama kuna kimoja unakifanya ktk hivyo nilivyokuambia hapo acha ili tofauti na hapo hautopona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri kufika hospitali tena kubwa kuna vipimo utaandikiwa ambacho kitaonyesha tatizo lako.
 
Bawasili ni kinyama kinachojitokeza ktk njia ya haja kubwa na kusababisha maumivu makali hasa wakati wa kjisaidia, chanzo cha bawasili ni, kuchuchumaa choooni muda mrefu, kujisaidia choo kigumu , mapenzi kinyume na maumbile, paka colget unapolala na unapoamka yaani mara 2 kwa cku kisha uje ulete mrejesho kama kuna kimoja unakifanya ktk hivyo nilivyokuambia hapo acha ili tofauti na hapo hautopona

Sent using Jamii Forums mobile app
Vp ddawa ya meno tofauti na Colgate haisaidii..?
 
Mimi hua haupiti mwaka bila kunizingua km mara mbili hivi. Nilishatuamia mitishamba hola.
Sasa juzi nilipata tumbo la kuhara basi ikaibuka na dawa sina but katika kutapa tapa nikakuta ile dawa ya mafua ya kupaka double axe au tunaita kishoka. Na kwny maeleza wanasema inatibu pia headache na muscular pain busi nikaona nipake tu hivyo hivyo aisee ilikata maumivu faster but uvimbe ulipungua kidogo kidogo.
So jaribu
 
Ndugu zanguni ni mara ya pili naingia kwenye huu uzi walau nione kama naweza pata tiba ambayo inaweza kunisaidia. Ni mara ya pili napatwa na ugonjwa huu mara ya kwanza docta hakunielezea ni ugonjwa gani bali alinipa dawa tu.

Baada ya miez mitano yaani sasa umejirudia tena ndipo docta wa hospitali nyingine niliyokwenda akaniambia ni Bawasiri. Halikuwa neno geni sana kwangu kwa kuwa nishawahi kulisikia japo sikuwa najua bawasiri inafananaje. Kuna dawa alinipa docta ambayo nilikuwa napachika sehemu ya haja kubwa kwa sasa ni kama nina nafuu.

Huu ugonjwa kwakweli umenitisha sana maana unavimbisha sehemu ya haja kubwa na napata maumivu makali hasa wakati wa kutembea na wakati wa kwenda haja kubwa.

Kwa mara ya mwisho docta ameniambia km dawa itashindwa inabidi nifanyiwe operation ya kukata. Hapa alinichanganya zaidi akili yangu. Ombi langu kwenu wadau ni dawa gani ya asili yaweza tibu hii kitu maana akili kisaikolojia haipo sawa sasa. Naomba msaada wenu tafadhali
Unakatwa chap dk 10 nyingi....unaendelea fresh tu
 
Pole sana. Ugonjwa huu ni wa kawaida sana,(bawasiri) huo uvimbe unaouona ni kujaaa kwa damu kwenye mishipa iliyolegea..
Njia moja ya matibabu ni hizo dawa ulizopewa zina julikana kama hemorrhoids suppositories. Nadhani ulielekezwa at least kila siku ukae kwenye maji ya vuguvgu kwenye dish walau dk 10 maji hayo yawe na dettol, (vizuri ukatumia ya maji) punguza uzito kama ni mnene kula vyakula vya mboga mboga.
Ukiona hali bado nenda hospital wakuandae kwa operation,
Pole sana..
 
mkuu kwa dawa za hospitali hiyo kitu itazidi kukusumbua. mwishowe watasema haiwezekani dawa ni upasuaji. tumia dawa ya kienyeji kama hujapata ni pm hilo tatizo linakwisha kabisa. dawa yenyewe utachanganya na maji vuguvugu ukande.
 
Nashukuru kwa maelekezo ndugu yangu nitakutafuta
 
Nashukuruni kwa mawazo yenu ndugu zangu nitayatendea kazi
 
kama bado umekwama nitakupa suluhisho la kudumu. Tafuta mgagani majani yake. twanga upate maji maji yake paka eneo husika asubuhi na kulala. kila kitu kitakauka. onyo: inauma sana hii dawa.
pia kuna mdau humu aliongelea mafuta ya mnyonyo waweza kutumia. ila mgagani ndo nina hakika nao. pia jua kwanini umefkia hapo. kukaa sehem ngum km kiti mda mrefu, kujisaidia kwa kupush sana kwa vile huli matunda na mboga za majan, stress, fungus za choon, kuwa mnene bila mazoez, au kama ni ke kufanya ngono kinyume cha maumbile sana ili umfurahishe binadam mwenzio.
 
Ndugu zanguni ni mara ya pili naingia kwenye huu uzi walau nione kama naweza pata tiba ambayo inaweza kunisaidia. Ni mara ya pili napatwa na ugonjwa huu mara ya kwanza docta hakunielezea ni ugonjwa gani bali alinipa dawa tu.

Baada ya miez mitano yaani sasa umejirudia tena ndipo docta wa hospitali nyingine niliyokwenda akaniambia ni Bawasiri. Halikuwa neno geni sana kwangu kwa kuwa nishawahi kulisikia japo sikuwa najua bawasiri inafananaje. Kuna dawa alinipa docta ambayo nilikuwa napachika sehemu ya haja kubwa kwa sasa ni kama nina nafuu.

Huu ugonjwa kwakweli umenitisha sana maana unavimbisha sehemu ya haja kubwa na napata maumivu makali hasa wakati wa kutembea na wakati wa kwenda haja kubwa.

Kwa mara ya mwisho docta ameniambia km dawa itashindwa inabidi nifanyiwe operation ya kukata. Hapa alinichanganya zaidi akili yangu. Ombi langu kwenu wadau ni dawa gani ya asili yaweza tibu hii kitu maana akili kisaikolojia haipo sawa sasa. Naomba msaada wenu tafadhali
Kuna mtu namfahamu alitibiwa kwa dawa za mitishamba pale Riverside, nikipata namba zao nitaziweka hapa uende hapo!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom