Rais Samia, Tanzania ni moja na hakuna mpasuko wowote. Tupo wamoja sana

Kamanda kama kuna uozo unahitaji wajerumani kuwanyoosha ni Chadema,mmekuwa mkilipwa mshahara kwa idadi ya matusi
Huwa ni ninawaza kama ingeezekana kuwarudisha Wajerumani kwa miaka 10. Wapate sehemu ya kodi lakini wasimamie serikali. Gavana na mawaziri wawe wao. Kurudisha tu utawala wa sheria.
 
Nashangaa eti kuna mpasuko labda huko kwa wanasiasa sisi tunazikana pilau za harusi tunakula huo Mpasuko ni wao bahati watz wana akili sana wanajua ukwl kabisa wanasiasa wachumia tumbo ebwaenaehehhhhh tunahangaika na kazi acha wajigawie hiyo cake wenyewe tutakutana kwa Mungu.
 
Nchi ya Tanzania ina watu takribani milioni 60, kila mtu ana vipaumbele vyake, hivyo huwezi kumridhisha kila mtu mama.

Asilimia 90 ya watanzania ni maskini: hawahitaji magari ya benzi wala nyumba za kishi baada ya kustaafu kushika chaki na kazi zingine za umma.

Wanahitaji maji safi na salama, huduma bora za afya, elimu bora na huduma zingine za kijamii.

Ukitaka kuwafurahisha baadhi ya watu kwenye asilimia 15 iliyobakia utapotea! Utabaki kukumbukwa kwa kuharibu nchi na hatma yake utakutana na mkono wa Allah aliyekupa nafsi hiyo.

Mama Samia, hutapendwa kwa kwenda kinyume na mtangulizi wako kwenye mambo yenye maslahi ya nchi. Mwenzako kamaliza zamu yake. Nadhani umeshuhudia namna umma wa watanzania ulivyompokea licha ya madhaifu yake kama binadamu.

Kikubwa timiza wajibu wako ukiingozwa na katiba na uzalendo wa hali ya juu.

Tumia nguvu uliyopewa, usipende kufanyiwa maamuzi na watu. Wengine baadhi ya washirika wako sio wema.

Wapinzani ni wapinzani tu, lengo lao kuchukua nchi hivyo kuwa nao makini.

Usiingie mkenge kwa kivuli cha kujenga umoja wa kitaifa. Nchi hii ni moja na hakuna mpasuko wowote labda mitandaoni ila uraiani tupo wamoja sana. Na hayati JPM ametupa nguvu sana kiasi kwamba tunajua kipi kizuri na kipi kibaya.

Mwisho nakutakia kila la kheri.

Happy Mothers' Day!
Hii nyuzi kaandika mtu mwenye IQ ndogo saana
 
Huyo Jpm mfate Chato ukakae nae, tuachie Mama yetu tusonge mbele.
 
Pumbavu Mataga, Shujaa weni katuharibia sana nchi, Hamna jema la kuiga toka kwake.
 
Nchi ya Tanzania ina watu takribani milioni 60, kila mtu ana vipaumbele vyake, hivyo huwezi kumridhisha kila mtu mama.

Asilimia 90 ya watanzania ni maskini: hawahitaji magari ya benzi wala nyumba za kishi baada ya kustaafu kushika chaki na kazi zingine za umma.

Wanahitaji maji safi na salama, huduma bora za afya, elimu bora na huduma zingine za kijamii.

Ukitaka kuwafurahisha baadhi ya watu kwenye asilimia 15 iliyobakia utapotea! Utabaki kukumbukwa kwa kuharibu nchi na hatma yake utakutana na mkono wa Allah aliyekupa nafsi hiyo.

Mama Samia, hutapendwa kwa kwenda kinyume na mtangulizi wako kwenye mambo yenye maslahi ya nchi. Mwenzako kamaliza zamu yake. Nadhani umeshuhudia namna umma wa watanzania ulivyompokea licha ya madhaifu yake kama binadamu.

Kikubwa timiza wajibu wako ukiingozwa na katiba na uzalendo wa hali ya juu.

Tumia nguvu uliyopewa, usipende kufanyiwa maamuzi na watu. Wengine baadhi ya washirika wako sio wema.

Wapinzani ni wapinzani tu, lengo lao kuchukua nchi hivyo kuwa nao makini.

Usiingie mkenge kwa kivuli cha kujenga umoja wa kitaifa. Nchi hii ni moja na hakuna mpasuko wowote labda mitandaoni ila uraiani tupo wamoja sana. Na hayati JPM ametupa nguvu sana kiasi kwamba tunajua kipi kizuri na kipi kibaya.

Mwisho nakutakia kila la kheri.

Happy Mothers' Day!
Naunga mkono hoja...Tuendelee kumuombea Mhe. Rais Mungu ampe nguvu. Anna kazi kubwa. Mashinikixo kwake ni mengi. Kuongeza nchi siyo mchezo...
 
Nchi ilidharaulika vibaya sana.
Wewe mwenyewe ndiyo unajidharau. Miaka mitano uchumi ulikuwa na kuvuka kwenda kundi la uchumi wa kati. Hii ni kwa kutumia taarifa za vyombo hivyo hivyo unasema vinatudharau. Kama ilidharaulika wasingekusifu. Ukweli ni kuwa Kenya inaelewa lugha moja "tit for tat". Sasa hivi raisi Kenyatta ameizuga TZ kuwa Watanzania sasa hawatahitaji vibali vya kazi kule KE. Hapo ameishamtega rais SSH. Kinachongojewa ni yeye kutamka Wakenya kuingia na kupata kazi bila vibali. Tukiisha ingia mtego huo, ujuwe bao limefungwa. Ukijaribu kubadili ndiyo kufungiana. Haya mambo hayahitaji maamuzi yam kihemuko. Mama rais SSH inabidi awe na uchambuzi mkubwa kabla ya kutoa matamko ya kisiasa hasa pale hayo matamko yanahusu nchi na nchi. Nafikri huyo anayeitwa gwiji wa mambo ya nje, ni kazi yake kumshauri mama SSH kuhusu athari za matamko ya kisiasa, hasa yale matamko yanayohusu policy kinzani!
 
Nchi ya Tanzania ina watu takribani milioni 60, kila mtu ana vipaumbele vyake, hivyo huwezi kumridhisha kila mtu mama.

Asilimia 90 ya watanzania ni maskini: hawahitaji magari ya benzi wala nyumba za kishi baada ya kustaafu kushika chaki na kazi zingine za umma.

Wanahitaji maji safi na salama, huduma bora za afya, elimu bora na huduma zingine za kijamii.

Ukitaka kuwafurahisha baadhi ya watu kwenye asilimia 15 iliyobakia utapotea! Utabaki kukumbukwa kwa kuharibu nchi na hatma yake utakutana na mkono wa Allah aliyekupa nafsi hiyo.

Mama Samia, hutapendwa kwa kwenda kinyume na mtangulizi wako kwenye mambo yenye maslahi ya nchi. Mwenzako kamaliza zamu yake. Nadhani umeshuhudia namna umma wa watanzania ulivyompokea licha ya madhaifu yake kama binadamu.

Kikubwa timiza wajibu wako ukiingozwa na katiba na uzalendo wa hali ya juu.

Tumia nguvu uliyopewa, usipende kufanyiwa maamuzi na watu. Wengine baadhi ya washirika wako sio wema.

Wapinzani ni wapinzani tu, lengo lao kuchukua nchi hivyo kuwa nao makini.

Usiingie mkenge kwa kivuli cha kujenga umoja wa kitaifa. Nchi hii ni moja na hakuna mpasuko wowote labda mitandaoni ila uraiani tupo wamoja sana. Na hayati JPM ametupa nguvu sana kiasi kwamba tunajua kipi kizuri na kipi kibaya.

Mwisho nakutakia kila la kheri.

Happy Mothers' Day!
Mashairi na bata kama hivi
 
Attachments

  • VID-20210509-WA0088.mp4
    58 MB
Mbona inajulikana anachotaka ^pleaser of all groups, implementer of none^
Hao wanaomshangilia mama wajuwe kuwa mama siyo muamuzi wa kila kitu. Mama anaongozwa na ilani ya CCM. Ilani kuu kwa chama chochote cha siasa siyo kujizika kisiasa. Chama chochote kinafuta kuongoza dola. CCM watakapoona kuwa huyu hafagilii inerest za CCM watamsukuma na kumuangusha chini basi. Usidhani CCM ina mpango wa kuachia uongozi, wakimuona anawaharibia watamuondoa tu! Mmesahau yaliyompata Jumbe? Au katibu mkuu wa CUF na baadaye kile chama cha mfukoni cha Zitto. Hawa wazito wawili walipojaribu kutofauta chama chao (CCM) walitupwa chini ya bus. mama SSH asipokuwa mwangalifu, atajikuta huko. Asijelia Oh kwa sababu mimi mwanamke au OH mimi Mzanzibari!
 
Usiingie mkenge kwa kivuli cha kujenga umoja wa kitaifa. Nchi hii ni moja na hakuna mpasuko wowote labda mitandaoni ila uraiani tupo wamoja sana. Na hayati JPM ametupa nguvu sana kiasi kwamba tunajua kipi kizuri na kipi kibaya.
Nimesoma hayo huko juu nimeyaelewa, ila hapa kuhusu "umoja" umenitoa kimasomaso.

Una maana CCM waendelee kuwaona na kuwafanya wapinzani wao kama raia duni? Mama aendeleze mikwara ya kuvuruga haki za watu na kuwanyima uhuru wao.
Hawa wanaoimba ukabila, ukabila kila mahala bado wewe unadhani wanatania?

Watu tulikuwa tumefikia hatua nzuri sana ya kutotaka hata kujua kabila la mtu kwa jambo lolote, leo hii Wenje akagombee ubunge Mwanza, unadhani hata kujaribu tu atajaribu?
Haya mambo ya msingi kabisa ndani ya nchi yetu aliyoyajenga kwa tahadhari kubwa Mwalimu, sasa mnayachukulia kama ni utani?

Kabla ya mengine yooote, mama anao wajibu mkubwa wa kuponya yote yaliyotokea wakati wa Magufuli. Ni wajibu wake aonyeshe kwa vitendo kwamba nchi hii ni ya watu wanaoheshimiana siyo katika siasa pekee, bali katika jamii nzima.

Nimesikitika sana kwako kuliona hili kuwa jambo la utani, huku ukijua watu walivyoumia katika miaka sita iliyopita.

Mama mwenyewe naye tayari alikuwa anaimba nyimbo za kugawanya watu, sasa ni wakati wake kuonyesha kwa vitendo kwamba yeye yuko tofauti na huyo aliyekuwa akitafuta kumfurahisha.
 
One who respects power does not fear it. Before Magufuli, nchi ilikuwa imekaa kama genge la wahuni wachache. Don't forget that. JPM kabadili upepo wa mazoea mabovu. Heshima na nidhamu ya kazi. Miradi ya maendeleo. Utu wa Mtanzania. Kujitegemea na kutotegemea misaada ya mataifa mengine. Rasilimali za nchi kwa ajili ya taifa. Vita dhidi ya rushwa na ubadhirifu wa mali za umma. ^Mahali tulipofika kama nchi, tunamhitaji kiongozi madhubuti kama JPM^ ~ ilisikika sauti kutoka upinzani.
 
Nchi ya Tanzania ina watu takribani milioni 60, kila mtu ana vipaumbele vyake, hivyo huwezi kumridhisha kila mtu mama.

Asilimia 90 ya watanzania ni maskini: hawahitaji magari ya benzi wala nyumba za kishi baada ya kustaafu kushika chaki na kazi zingine za umma.

Wanahitaji maji safi na salama, huduma bora za afya, elimu bora na huduma zingine za kijamii.

Ukitaka kuwafurahisha baadhi ya watu kwenye asilimia 15 iliyobakia utapotea! Utabaki kukumbukwa kwa kuharibu nchi na hatma yake utakutana na mkono wa Allah aliyekupa nafsi hiyo.

Mama Samia, hutapendwa kwa kwenda kinyume na mtangulizi wako kwenye mambo yenye maslahi ya nchi. Mwenzako kamaliza zamu yake. Nadhani umeshuhudia namna umma wa watanzania ulivyompokea licha ya madhaifu yake kama binadamu.

Kikubwa timiza wajibu wako ukiingozwa na katiba na uzalendo wa hali ya juu.

Tumia nguvu uliyopewa, usipende kufanyiwa maamuzi na watu. Wengine baadhi ya washirika wako sio wema.

Wapinzani ni wapinzani tu, lengo lao kuchukua nchi hivyo kuwa nao makini.

Usiingie mkenge kwa kivuli cha kujenga umoja wa kitaifa. Nchi hii ni moja na hakuna mpasuko wowote labda mitandaoni ila uraiani tupo wamoja sana. Na hayati JPM ametupa nguvu sana kiasi kwamba tunajua kipi kizuri na kipi kibaya.

Mwisho nakutakia kila la kheri.

Happy Mothers' Day!
unazingua
 
One who respects power does not fear it. Before Magufuli, nchi ilikuwa imekaa kama genge la wahuni wachache. Don't forget that. JPM kabadili upepo wa mazoea mabovu. Heshima na nidhamu ya kazi. Miradi ya maendeleo. Utu wa Mtanzania. Kujitegemea na kutotegemea misaada ya mataifa mengine. Rasilimali za nchi kwa ajili ya taifa. Vita dhidi ya rushwa na ubadhirifu wa mali za umma. ^Mahali tulipofika kama nchi, tunamhitaji kiongozi madhubuti kama JPM^ ~ ilisikika sauti kutoka upinzani.
magufuli alitoa wahuni akaweka majambazi kabisa.
 
Naona unataja baadhi ya mengi niliyofurahia kayafanya, hata kama aliyafanya kwa njia za hovyo. Napenda uelewe hivyo, na pengine kama ungefuatilia ninayoandika hapa JF baada ya Magufuli kuondoka na mama kuingia utaona ni kama nilikuwa mfuasi wake mkubwa.
Hapana. Yale aliyofanya nimkatae, na kusema kweli nimchukie, yalifuta kabisa haya mazuri uliyoorodhesha hapa.

Asingejihusisha na yale mabaya yake, Magufuli angekuwa rais mzuri sana kumkaribia Mwalimu. Lakini tabia zake na udhaifu wake (sijui ni ubinaadam wake) ulimfanya awe kiongozi wa hovyo kabisa (as far as I am concerned).

Na ndiyo maana unaona hayo maneno kwenye 'signature' yangu: "One who respects power does not fear it." Niliyaandika maksudi siku moja baada ya kuchukizwa sana na vitendo vya uonevu alivyokuwa akifanya Magufuli.

Huyu mama angeweza kuyafanya, au kuyaacha yaendelee hayo mazuri ya Magufuli bila ya upande mbaya wake, na akajiepusha na makundi ya mtu wa Msoga, kazi yake ingekuwa nyepesi na nzuri.
Lakini inaelekea mama tayari amekwishatekwa huyu, anachukua na kuendeleza alipoachia Kikwete.
Tutakuwa na hali ngumu sana.

Kwa hiyo, Bwana Jasmoni Tegga, nielewe ninaposimamia mimi. Usinirundike tu kwenye kundi. Nina mawazo ninayoyasimamia mwenyewe, nilishavuka hatua ya kufuata mkumbo.

Niliyoandika hapo juu na wewe ukani'quote', ndio uamini wangu haswa. Magufuli aliharibu sana kwa tabia zake mbaya.
 
Back
Top Bottom