Matumizi ya kondomu na maudhi yake

sometimes ni aina tu ya wanawake unaokutana nao. Amini mzee kuna wadada wapoje sijui hadi leo sielew yani mwendo ni uleule nivae au nisivae ndomu, wewe fanya uchunguzi I mean kama naenda dk 20 bila ndom hata nikivaa sizidish
Kwamba utamu unabaki ule ule hata ukivaa ndomu?
 
sometimes ni aina tu ya wanawake unaokutana nao. Amini mzee kuna wadada wapoje sijui hadi leo sielew yani mwendo ni uleule nivae au nisivae ndomu, wewe fanya uchunguzi I mean kama naenda dk 20 bila ndom hata nikivaa sizidish
Mkuu kinachokufurahisha wewe hakiwi sababu ya kunifurahisha na mm boss

Ndomu nimejaribu sana haipandi kabisa na sio swala la ushabiki
 
Kiukweli kwenye enjoyment condom kidogo ina tofauti, huwezi kuenjoy kula pipi na ganda lake ni lazima ganda litolewe ndiyo usikie radha halisi hivo si wanaume tu ambao hawasikii ile ladha halisi hata sisi wadada tunakua hatuufeel ule mti nyama wenyewe og sababu ya condom.

Ila sasa hiyo ndiyo njia madhubuti ya kujikinga na maradhi na unplanned pregnancies na haina lawama. Je tusitumie condoms tukaenjoy tendo kwa muda huo then the rest of life tukajutia ama tutumie ili na kesho tuendelee kuishi bila majuto. Heri nusu shari kuliko shari kamili.kumeza dawa kila siku siyo poa🤔, Tutumie condoms ,ama tubaki njia kuu na tuhakikishiane tunakuwa waamnifu kwa wapenzi wetu, je tutaweza hasa wanaume mnaweza bila kuwa na vitamaa tamaa huko pembeni?
 
Kiukweli kwenye enjoyment condom kidogo ina tofauti, huwezi kuenjoy kula pipi na ganda lake ni lazima ganda litolewe ndiyo usikie radha halisi hivo si wanaume tu ambao hawasikii ile ladha halisi hata sisi wadada tunakua hatuufeel ule mti nyama wenyewe og sababu ya condom.

Ila sasa hiyo ndiyo njia madhubuti ya kujikinga na maradhi na unplanned pregnancies na haina lawama. Je tusitumie condoms tukaenjoy tendo kwa muda huo then the rest of life tukajutia ama tutumie ili na kesho tuendelee kuishi bila majuto. Heri nusu shari kuliko shari kamili.kumeza dawa kila siku siyo poa, Tutumie condoms ,ama tubaki njia kuu na tuhakikishiane tunakuwa waamnifu kwa wapenzi wetu, je tutaweza hasa wanaume mnaweza bila kuwa na vitamaa tamaa huko pembeni?
Kabisa
 
Itafkamahala tutaweza tu maana hya maudhi ya kondomu ni balaaa bora nibak njia kuu labda kwa mwenzangu
 
Kiukweli kwenye enjoyment condom kidogo ina tofauti, huwezi kuenjoy kula pipi na ganda lake ni lazima ganda litolewe ndiyo usikie radha halisi hivo si wanaume tu ambao hawasikii ile ladha halisi hata sisi wadada tunakua hatuufeel ule mti nyama wenyewe og sababu ya condom.

Ila sasa hiyo ndiyo njia madhubuti ya kujikinga na maradhi na unplanned pregnancies na haina lawama. Je tusitumie condoms tukaenjoy tendo kwa muda huo then the rest of life tukajutia ama tutumie ili na kesho tuendelee kuishi bila majuto. Heri nusu shari kuliko shari kamili.kumeza dawa kila siku siyo poa, Tutumie condoms ,ama tubaki njia kuu na tuhakikishiane tunakuwa waamnifu kwa wapenzi wetu, je tutaweza hasa wanaume mnaweza bila kuwa na vitamaa tamaa huko pembeni?
Kuna wadada hawataki ndomu kumbe hii inaweza kuwa ndo sababu..kumbe na nyie utamu unapungua?..
 
Kimsingi ni kuwa hatuwezi kuenjoy sex kwa kugegeda mtu ambaye hutumwamini..ni bora kutulia na mmoja na mkapima huku mmewekeana nadhiri kali kabisa.

Kula mbaazi daily sio poa kabisa.
Na maharagwe ya nazi je¿ 😬
 
Wadau kwa nini ukitumia kondomu, ukipiga bao la kwanza huwa jamaa anakufa tena huenda usipate kabsa hamu ya kurudia tena, nini kinasababisha, najua wahanga tuko wengi.
Change your mindset
 
Back
Top Bottom