Kizuri kizuri tu
Movie ni kali
Kama utakuwa unakosoa movie kwa mtindo huo basi movie zote ni mbaya.
Kwanza unatakiwa ujue maana ya "SISU" alafu uelewe story vizuri.
Aatam ni commando mstaafu alipigana vita miaka ya nyuma na alipoteza familia yake. Ogopa kupambana na mtu asiye na cha kupoteza ni...
Tatizo ulioa Mtoto, wakati unamuoa alikuwa hajakomaa kiakili sasa hakuwahi kupata vishawishi na kujua kuviepuka. Sasa kaona aonje na kwingine asikie test ikoje.
Nakushauri kwa kuwa ndio Mara ya kwanza umemkuta na kosa hilo msamehe, ishini pamoja na hakika atajutia na hatorudia na pia hio...
Anaitwa Maui, nilimchukua akiwa mdogo kabisaa. Kwa kipindi cha ukuaji hapo nyuma kulikuwa na watoto wa jirani walikuwa wakicheza nae na mda mwingine walikuwa wakicheza nae vibaya kwa kumpiga hali hiyo imemfanya Maui kuwa mkorofi hasa akiwa na njaa. Kuna wakati mwingine bila sababu tu anaweza...
Habarini za wakati huu nipo hapa kuhitaji msada katika hili, mie ni kijana wa kiume, nina nywele kiasi chake na nywele zangu hizi sitaki kuzinyoa mbaya zaidi nikizichana zinauma balaa na kuzinyoa staki kabisa sijui nini cha kufanya ili zionekane na mvuto kichwani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.