Msaada: Tecno Boom J8 application zote hazifanyi kazi

Msaada: Tecno Boom J8 application zote hazifanyi kazi

Nojo Wemah

Member
Joined
Aug 9, 2017
Posts
21
Reaction score
19
Jamani nisaidieni, simu yangu inazingua application zote hazifanyi kazi. Kika nitakayofungua inaniandikia "unfortunately ***** stoped.
Nifanye nini ili ikae sawa!??
 
Angalia kama kuna application mpya umeweka kwa simu yako fanya kui uninstall simu yako itakua
 
Jamani nisaidieni, simu yangu inazingua application zote hazifanyi kazi. Kika nitakayofungua inaniandikia "unfortunately ***** stoped.
Nifanye nini ili ikae sawa!??
Nipigie hpa 0753093869 ukiwa na 10000 tutasolve bila kufutika chochote
 
Nina boom j8 nmeichukua kwa mtu, touch yake hadi had utumie nguvu kidogo.

Kwa anayejua msaada tafadhali maana hadi naona ivivu kuchati
 
TECNO ni vimeo sana, uza hiyo simu tu ununue brand nyingine

Never ever trust TECNO again
 
Nina boom j8 nmeichukua kwa mtu, touch yake hadi had utumie nguvu kidogo.

Kwa anayejua msaada tafadhali maana hadi naona ivivu kuchati
Nenda settings>>> Language & input >>> pointer speed...then Ongeza weka hadi mwisho. Itakua afadhali kidogo.
 
Back
Top Bottom