Kwangu mimi ni kelo tunayopata wakazi gongo la mboto kata ya ulongoni A ni jambo la ajabu kila ifikapo saa mbili usiku umeme unakatika bila sababu maalumu as if mitambo huwa Inapumzishwa suala la nishati ya umeme ni nyeti sana katika Suala la maendeleo ni miaka 3 iliyopita China...
Sisi wakazi wa gongo la mboto na vitongoji vyake limekuwa ni jambo la kawaida kila ifikapo saa mbili usiku umeme unakatika bila sababu maalumu as if mitambo huwa Inapumzishwa suala la nishati ya umeme ni nyeti sana katika Suala la maendeleo, hivi majuzi China walisheherekea...
Tatizo hawana uchungu na hela ya watanzania si wote Walio piga kura walikuwa wana cuf watu walikuhitaji uwatumikie baada ya kusikia Sera zako viongozi dhaifu hupenda kupongeza msichezee fedha zetu
Hapo kafulila hajausaliti upinzani ukiisoma vizuri barua yake ameandika upinzani sio sehemu salama ktk kupambana kwenye siasa za bongo means that hataki kuwa karibisha wasio julikana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.