Vazi la Gadaffi lenye picha ya viongozi mashuhuri wa Africa ,umeona picha ya kiongozi gani hapo ?

ni..kitu,cha..kipekee..alikuwa..nacho,hajawa..mbinafsi..kama..mugabe,kuvalia..nguo..zinazoonesha..picha..yake..tuu.
 
Hii damu ya hyu mzee itawatafuna Libya vizaz na vizaz na nnaona hat yanayoendelea Libya kwa sas ni laana zake hyu mzee dddaaaahhh kwel nabii hakubaliki Kwao.
 
Huyu bwana alikuwa vizuri kwa uzalendo. Tatizo tu ni pale alipotaka kuifanya Afrika nzima kuwa chini ya imani moja!!!!!
 
Gadaffi alikuwa anapenda kuvalia shati lenye picha ya viongozi waliopigania Uhuru "Pan Africanism"

Nataka kuwajua mabingwa wa historia umeona picha za viongozi gani kwenye vazi hilo ,ukiwataja wote itakuwa vizuri zaidi na maksi utapata nyingi
b430609517d11658d09ee1949c5e2c76.jpg

dd236544e5c68b7898e12dcb00c7c222.jpg

f975b9cba40ae1eb2b5c707a56bb6a6a.jpg
Duh! Kumbe Gadaffi pia ni CHADEMA!!!
 
Gadaffi alikuwa anapenda kuvalia shati lenye picha ya viongozi waliopigania Uhuru "Pan Africanism"

Nataka kuwajua mabingwa wa historia umeona picha za viongozi gani kwenye vazi hilo ,ukiwataja wote itakuwa vizuri zaidi na maksi utapata nyingi
b430609517d11658d09ee1949c5e2c76.jpg

dd236544e5c68b7898e12dcb00c7c222.jpg

f975b9cba40ae1eb2b5c707a56bb6a6a.jpg
Faza J
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom