Meli ya wachina yaibua Matapeli

Meli ya wachina yaibua Matapeli

Wale watakao kuuza BANDAMA, FIGO, MAINI au UTUMBO changamkieni meli imekuja ndiyo fursa hiyo!
 
Bavicha ndio wanaouza hizo kadi wapuuzi sana
 
BINADAMU HAWANA WEMA ,PAMOJA NA JITIHADA ZOTE ANAZOFANYA MKUU WA MKOA BADO UNAMWITA TAPELI? MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI ! ANASTAHILI PONGEZI KWA HILI
Mkuu huyu mjinga mjinga alichokosea ni kudanganya watu kwamba huduma zinazitolewa pale kuna MTU amelipa gharama zote! Huo si ni utapeli?
 
Kama Magufuli kawalipa kwa nini wakae siku tano?
Inabidiwakae hata miezi miwili manake si wamekula pesa ya gucci G
 
Back
Top Bottom