Pole Wastara Mungu atakuondoshea lililokuwa zito kwako Insha'Allah

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Pole sana dada Wastara, Mungu atakuondeshea lililokuwa zito kwako Insha'Allah.
IMG_20180514_224117_105.jpg
 
Mungu akuafu upate afya njema. Yamkini hakuna neema
kubwa kama uzima wa afya
 
Huyu dada tangu ampoteze
Mumewe sajuki cjui Kama
Aliwah kukaa Kwa aman
Maana mwaka hauish
Analazwa hospital
 
Back
Top Bottom