Recent content by nobykah

  1. nobykah

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuhama chuo kikuu upoje?

    Hatua ya kwanza ni kujua kama chuo unachotaka kuhamia kina nafasi ya kukupokea Mengine sijui
  2. nobykah

    JamiiForums Tanzania Upepo Kisulisuli

    Well done
  3. nobykah

    JamiiForums Tanzania Kufa kwa biashara ndogo ndogo Tatizo ni nini?

    Pia kutegemea sana mapato ya bihashara hiyo kusolve kila kitu chako hasa kwa bihashara inayoanza inaweza kuwa sababu pia
  4. nobykah

    JamiiForums Tanzania Kufa kwa biashara ndogo ndogo Tatizo ni nini?

    Mtazamo wangu Mo Kwa kuwa bihashara ndogo nyingi zinamilikuwa.na.mtu moja, moja ya mtaji muhimu ni afya ya mmiliki na muda wake, kwa hiyo chochite kitakachoathiri hayo mawili kinaweza kuwa chanzo.cha.kudorora kwa bihashara na hata kufa
  5. nobykah

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Tafadhali fafanua kidogo hasa namna inavyofanyika!!!
  6. nobykah

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Afariki kwa kupigwa risasi baada ya kukaidi amri ya JWTZ

    Kama alikuwa ana tatizo.la akili je???
  7. nobykah

    JamiiForums Tanzania Mchoraji Kampatia?

    Mchoraji anajua kuchora ila kafanya.maksudi!!!
  8. nobykah

    JamiiForums Tanzania Muvi za bwana Madebe Lidai (akitumia jina la Nabii Mswahili) zimetokea kukuna wengi,

    Itabidi ni comment tu kumsaidia uzi usibaki empty bila reply
  9. nobykah

    JamiiForums Tanzania Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

    We jamaa nimependa sana jina lako
  10. nobykah

    JamiiForums Tanzania "Msifurahie sana kuchaguliwa UDSM" jitafakarini pia

    #esp_2nd_yrs Lakini kumbuka nazungumzia first year. Jaribu kuulizia IFM ujue yanayowakuta kwenye matokeo ya first year kuingia second year. Pia fuatilia idadi ya first year conas
  11. nobykah

    JamiiForums Tanzania "Msifurahie sana kuchaguliwa UDSM" jitafakarini pia

    S Sorry Nimesha edit
  12. nobykah

    JamiiForums Tanzania "Msifurahie sana kuchaguliwa UDSM" jitafakarini pia

    Kwanza nipende kuwapongeza wanafunzi wote mliochaguliwa UDSM, na pia niwape pole kwa changamoto za ugeni na 'jokes' kutoka wanafunzi wazoefu Dhumuni la kuandaa uzi huu ni kuwataka mjitafakari na kuchukua maamuzi sahihi Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, chuo kikuu cha Dar es salaam...
  13. nobykah

    JamiiForums Tanzania Matatizo yanayoikuta computer, pamoja na suluhisho lake.

    Mi laptop yangu sometime nikiiwasha inashindwa kustart window inaandika non system harddisk problem Shida inaweza kuwa nini
  14. nobykah

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wakili afungua Kesi ya kutaka utaratibu wa kutoa Mahari ufutwe

    Kama ni zawadi basi muoaji aamue nini cha kutoa,kwa maana zawadi siku zote haiamuliwi kuwa kitu fulani
Back
Top Bottom