Recent content by No SQL

  1. No SQL

    JamiiForums Tanzania 🔊 T8ii SPEAKER

    Mkuu, japo kila mtu na bei yake, lakini naona wengine wanaziuza 185k-190k..unaweza kupunguza nawe ili uuze fasta
  2. No SQL

    JamiiForums Tanzania Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

    Katoliki sio kanisa kama unavyofikiria
  3. No SQL

    JamiiForums Tanzania Mnao ishi mabondeni na vichochoroni kuweni makini pia

    Eeeh...na ni asilimia kubwa
  4. No SQL

    JamiiForums Tanzania Mnao ishi mabondeni na vichochoroni kuweni makini pia

    Kilingana na maisha yetu waTz wengi..kuhifadhi chakula ni ngumu sana...unakumbuka kipind cha Corona?
  5. No SQL

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Deo Ndejembi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa

    Nadhan mnajionea wenyewe...
  6. No SQL

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    CRDB wamenilipa saa tano usiku...duh
  7. No SQL

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Aaah CRDB inaingia kwa mafungu
  8. No SQL

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    CRDB bado sijapata
  9. No SQL

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Ivutie subira tu..haiwez kugoma hyo ni moja ya huduma inayoingiza pesa nyingi
  10. No SQL

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    NMB itasoma tu..sema mpk unapata ww..foleni ATM inaweza kuwa imefika Kigoma ( kama upo mkoani)
  11. No SQL

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Umepata CRDB?
  12. No SQL

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    PDF business
  13. No SQL

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Makato ya madeni kama Heslb na bank loans....ukiingia ESS kwenye e-mikopo utaona
  14. No SQL

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Makato tayari....sasa tusubiri mzigo wetu
  15. No SQL

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Makato bado mpk leo...hii ngoma ngumu
Back
Top Bottom