Mkuu sio kwa hayo tu wafanya biashara za mitandaoni, nk wanatumia Man Utd Session kuingiza kipato. Mkuu atakaye fungua youtube channel itakayokuwana video xza mau utd mechi zake za wakati wote ni fursa nzur sana. .
Niliingia bar bar moja washabiki wa man walipoona wafanyakazi wanashadadi...
Wakuu naomba msaada kujiamini ni shida kwangu.
Nakosa kitu hiki, nakosa kuaminiwa katika mambo makubwa, nikiaminiwa ile asili yangu i mean tabia yangu inanibeba. Nipo vizuri katika kazi
Wakati mwngine nalewa nijiamini lkn naishia kuwa na hangover na miharufu na bia.
nikiwa na viongozi wakubwa...
Wengjne wanatumia neno "K" baby naomba 30K duh siku ya kwanza kujua matumizi ya K nilichoka kwanza nilidata, nikakaa chini nikahoji 3k si milioni hiyo? Nina gugo nikaona kumbe no 30,000/- mamaae nikamwambia nimekwamba Gari imegonga, nichekie elf10, baasae nikamtumia 20k tukawatumelipana, japo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.