Wadada mmezidi kupiga mizinga (kuomba hela)

Wengjne wanatumia neno "K" baby naomba 30K duh siku ya kwanza kujua matumizi ya K nilichoka kwanza nilidata, nikakaa chini nikahoji 3k si milioni hiyo? Nina gugo nikaona kumbe no 30,000/- mamaae nikamwambia nimekwamba Gari imegonga, nichekie elf10, baasae nikamtumia 20k tukawatumelipana, japo yeye amepata 10 juu
 
Tena saivi vibopa na sponsor mjiandae kwa kupigwa mizinga, maan HELSB walichofanya hata wajumbe wanasubiri
 
Mnacomplicate sana maisha watu humu ndani,sioni sababu ya kulalamika hapa,sidhani kama kuna watu watakuja kuoa humu ndani.

Sababu kama unalalamika kuombwa hela ya dawa,ukiambiwa ukweni nyumba imebomolewa na mafuriko utafanyaje,au utachukulia umepewa tu taarifa ili ufahamu,baasi.

Unalalamika kuombwa msaada wa kusaidia mgonjwa apone? We ni undertaker nini?
Huyo mgonjwa Hana ndugu?
 
Africa is fighting independence for the second time everywhere. This indigenous colonialists like maccm represent the worst form of colonialism, because they can camouflage as if they have the best interest of people.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaaa kijana acha ku panic...ukingia katika gemu kama hizi.....ni ivi ukikutana na mdada mwenye.....wa aina hii unachotakiwa ujifunzee....mchezoo...unaitwa nusu kaputi yaani ....ukiobwa hela....unamjibu mdada hivi....""usijali mpenzi njoo getto ujee uchukue....maana line yangu ya tigo pesa au mpesa zina matatizoo njoo getto nikupe"" halafu kwa maliziaa ...ukisemaa mwaaa halafu dia nina nyeg""e....uone kama atakutafutaa .....wala kukuomba hela""" mwambie njooo getto uchukuee usikie majibu yakee
Haji ng'oo utasikia vumilia baby
 
Ila kiuhalisia mwanamke haitakiwi kuomba hela...inabidi mwanaume ndo ampe hela..I had a friend of mine yeye kila mwez ukianza anakatiwa 400k! Yaan hiyo haina Tena kuongezewa..of course inatosha Sana! Hiyo ndo defn ya mwanaume...sio kila Mara uombwe hela jmani..toa tu! Kata fungu jema jikatae
Kwanini mwanaume atoe hela
 
Back
Top Bottom