Recent content by nkwamangi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

    Udini upi? Wa kuwafunga mashehe hovyo au. Ongea vitu vyenye mantik si suala la dini.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Jamani mke wa Peter Okoye wa psquare (Lora Omotoya) ni mzuri sana ama kweli wenye fedha tunafaidi

    Acheni wivu mdada mzuri kama chakula
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kiutu uzima muhimu jamani! No Jokes, this is serious bussiness

    Sura utakula ndani? Huyo asiye na good looking na anakupenda ndo mzuri maana huyo kisura wako atapendwa na wengi
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mtangazaji gani anayekuvutia

    Anayenivutia: Kibonde Gardner Zembwela Gerad handle
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nimekumiss Marangu Mtoni...!!!!

    Kweli uchagani hakuna njaa. Mi napapata lyasomboro
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nyaisangah hakutendewa haki hata kidogo

    Hii ni desturi ya watanzania haswa akifa mtu maarufu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Marehemu Mushi kusafirishwa Alhamisi kwenda Uru Moshi

    Hatuwezi jua chanzo ni nini hadi mtu kufikia hapo jamani. Hasira ni shetani tusimhukumu mushi. Tumuachie muumba wake
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mademu wa siku hizi ombaomba mnooo!!!

    Jamani wasichana wameendekeza shida kwa tamaa zao za kidunia
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Duuuu jamani mbona mauaji ya ajabu hivi. Tunamuombea ufoo apone
  10. N

    JamiiForums Tanzania "ualimu ni kupoteza muda"

    Anayeuponda ualimu ujue ni ktk wale waliofeli ikabidi akasome tu bila kupenda cause kama unapenda huwezi lalamika. Ni kazi inayompa mtu uhuru wa kufanya miradi mingine na ukafanikiwa
  11. N

    JamiiForums Tanzania MWANAUME anapomkodolea jicho MREMBO mwingine huku akiwa na mpenzi wake.

    Unakuta mwanamme anadrive ila anaweza kushangaa hadi ukahisi atapata ajali.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Fanyieni usafi nywele zenu za bandia

    Wasichana acheni kukaa na nywele miezi kibao bila kuosha. Uchumi ukikushinda si ukate!
Back
Top Bottom