Recent content by Nkong'onta

  1. Nkong'onta

    Madiwani Rombo walilia posho

    82,000
  2. Nkong'onta

    Tabia za wanaume wa kifipa (japo niko naye tayari na nampenda)

    Kwani wewe ni kabila gani! Kabila lenu ndiyo mnatatua matatizo ya ndoa JF! Hapo dada umeharibu
  3. Nkong'onta

    Majina saba ya askari walio uwawa Sudan

    Very sad newz. Mungu azirehemu roho za marehemu hawa. Zipumzike kwa amani. Tulitoka mavumbini tutarudi wote mavumbini
  4. Nkong'onta

    Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    Weka attachment ya waraka huo hapa mkuu
  5. Nkong'onta

    Diploma ya clinical officer vs degree ya education

    Chagua kulingana na wito ulionao vs ulivyo faulu
  6. Nkong'onta

    Live Updates: Morocco Vs Tanzania leo, 8 June 2013 uwanja wa Stade de Marrakech

    Kwa kweli Mechi hii ilipaswa ionyeshwe na TBC kwani ni muhimu kwetu
  7. Nkong'onta

    Hospitali ya Rufaa ya KCMC imebakia Jina tu!

    Mkuu tupe evidence kuhusu tuhuma hizi.
  8. Nkong'onta

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    safiii kamanda mnyika unakipaji maalumu. piga kazi cv yako iko juu. tunasubiri za kwao hapa janvini
  9. Nkong'onta

    Bunge lajigeuka: Tutaendelea kurusha 'LIVE' vikao vya Bunge...

    Kwa maoni yangu hapo naona vyombo binafsi vya habari vita wekewa speed governor, mtaona tu subirini.
  10. Nkong'onta

    Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

    Tatizo la msingi hapa ni spika wa bunge na naibu wake kugandamiza upinzani. kwa kukataa hoja za msingi hata kama zina manufaa kwa taifa. Viongozi hawa wakijirekebisha bunge litatulia na kurudisha heshima kama enzi za mh. Sitta. Big up mh. Sitta.
  11. Nkong'onta

    Silly Politics: Sasa tunashindanisha Umati na kuamua kwa kufuata uzuri wa sauti?

    Ni vyema umati uje wenyewe usiletwe kwa fuso, mabasi & kupewa pesa
  12. Nkong'onta

    Binti alotiwa mimba.....

    kali sana
  13. Nkong'onta

    Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    mimi naona hili swala si la katibu mkuu peke yake, kwa hiyo wote waliohusika wahusike na kuwajibishwa
Back
Top Bottom