Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

bunge lazima lioneshwe live! swala la kutaka kuonesha recorded halipo kabisa. hiyo recorded itakuwa ni marudio baada ya kuona live vituko vyote na sarakasi za bungeni.
 
Tatizo la msingi hapa ni spika wa bunge na naibu wake kugandamiza upinzani. kwa kukataa hoja za msingi hata kama zina manufaa kwa taifa. Viongozi hawa wakijirekebisha bunge litatulia na kurudisha heshima kama enzi za mh. Sitta. Big up mh. Sitta.
 
Tatizo si muda,kuonyeshwa kwa bunge ni haki ya mtanzania....

jamani nape nae anajua nini kuhusu tz yee anaendeshwa na hisia za ulafi wake kama mie ndio hata siumizagi akili yangu kumfutilia nape ahhgrrttmhgrrriiigraaaaam
 
Hivi maoni yako ya kuunga mkono tusione bunge live eti kwa mtizamo wako tunakuwa hatuwezi kuangalia wakati huo ni wazo la kiushabiki au ndo mawazo ya kutetea kitumbua chako kisiingie mchanga?Nataka jibu

PILI NAKUPA TAARIFA KUWA SISI HUWA TUNAANGALIA BUNGE LIVE NA WENGINE WENGI KWA WAKATI ULIODAI HATUANGALII

TATU NAKUPA TAARIFA KUWA DIGITALI KWA KUTUMIA VING'AMUZI VYA BTL(ipp&sahara) VINAVYOKUJA.
TUTAKUWA NA UWEZO WA KUREKODI MATANGAZO YOTE NA KUANGALIA KWA MDA TUNAOTAKA.
Kwa hiyo kama mtu hana mda ataangalia baadae.

NNE NAMPA TAARIFA NAPE KUWA HAPO NYUMA WATU WALIOKOSA MDA WA KUANGALIA BUNGE MCHANA WALIKUWA WANANGALIA MARUDIO YA MATANGAZO YA BUNGE KUPITIA STAR TV japo sijui kama waliichakachua star tv mana hairushi tena matangazo ya bunge.

TANO.natoa ujumbe kuwa serikali waache kuchezea wananchi.
KAMA see-see-yemu inasepa acheni isepe tu mana hamna uwezo wa kuzuia maamuz ya wananchi hata kama hampendi.
KUTAPATAPA NI DALILI YA KIFO CHA watawala na kachama kao.
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nauye, amesema kuwa jambo lolote ambalo linaleta heshima kwa Bunge analiunga mkono.

"Suala la Bunge kurushwa ‘live' halirushwi kwa wakati ambao watu wanafuatilia kwani wakati wa asubuhi watu wanakuwa maofisini, wakati wa mchana wao wanakuwa wako mapumziko wanakula na Bunge nalo linakuwa mapumziko, sasa wanaangalia saa ngapi?" alihoji Nape.
Alisema hawezi kupinga suala ambalo linaonekana lina faida na kuleta heshima kwa Bunge hivyo anaafiki uamuzi huo.

Source:Nipashe Ijumaa
HAYA NDO MANENO YA NAPE FB,
"Naunga mkono juhudi za kulifanya bunge letu liwajibike zaidi kwa wananchi na kuwa na heshima zaidi. Lakini naamini kutolionyesha "live" si moja ya juhudi hizo!
Lakini ni muhimu kujadili pia muda wa kurusha bunge ambapo wananchi wengi wanapata muda wa kuliangalia badala ya utaratibu wa sasa ambapo naamini watu wengi wapo/wanapaswa kuwa kazini.""

SASA HUU USHAMBENGA MMETOA WAPI WANGA NYIE????!!!!
 
Tatizo naloliona kwako Bwana Nape ni kukurupuka katika statements au mitazamo yako unayotoa ktk masuala mbalimbali, tena si mara moja wala mbili tukianzia ukiwa ndani ya chama chako na hadi nje.Sasa baada ya katibu wa bunge kuzungumzia nia ya bunge kukatisha matangazo ya Live kwa wananchi wewe hukuchukua tahadhari kwamba huenda alikua anatest reaction ya wadau mbalimbali itakuwaje, ukaingilia hoja ukiwa mzimamzima na kuunga mkono ubakaji huo dhidi ya uhuru wa maoni, kabla ya baadaye viongozi wa bunge kutulia na kutafakari na kuona watu wa generation hii hawaburuzwi hata kidogo, na katika tamko lake ameahidi kuboresha matangazo hayo maradufu ili kukuza demokrasia na utawala bora, sasa baada ya Katibu wa bunge kutoa waraka huu sikusikii tena, upo kimyaa na utaendelea kua kimya kwa sababu umekiaibisha chama chako kwa kuonyesha kuwa chama kinakumbatia unafiki.Kimsingi ni kwamba umeonyesha udhaifu mkubwa sana ktk position ulionayo, ila cha msingi nafkiri umepata somo kwamba that's not how the politicians handle issues, sekretarieti ya chama inaonekana kupwaya saivi, katibu mkuu ndo hivo tena ana kashfa ya tembo, wewe unacheza chini ya kiwango.Unadhani mnafanya siasa gani sasa? hadi 2015 natabiri CCM kubadilisha sekretarieti zaidi ya mara 1 japo kupunguza kasi ya CDM ingawa ni ngumu sana kuwapunguza kasi CDM sasa hivi.
 
Nafikiri walimtuma hayo wakitegemea support kubwa kwavile umma wa watanzania waligadhibika na zile fujo, in unexpected turn of event umma ukakomaa....
 
Huu ni UPUUZI WAKO MSIMAMO WA NAPE TUNAUJUA HUU WAKO WEWE NA NASHA WAKO

Tatizo naloliona kwako Bwana Nape ni kukurupuka katika statements au mitazamo yako unayotoa ktk masuala mbalimbali, tena si mara moja wala mbili tukianzia ukiwa ndani ya chama chako na hadi nje.Sasa baada ya katibu wa bunge kuzungumzia nia ya bunge kukatisha matangazo ya Live kwa wananchi wewe hukuchukua tahadhari kwamba huenda alikua anatest reaction ya wadau mbalimbali itakuwaje, ukaingilia hoja ukiwa mzimamzima na kuunga mkono ubakaji huo dhidi ya uhuru wa maoni, kabla ya baadaye viongozi wa bunge kutulia na kutafakari na kuona watu wa generation hii hawaburuzwi hata kidogo, na katika tamko lake ameahidi kuboresha matangazo hayo maradufu ili kukuza demokrasia na utawala bora, sasa baada ya Katibu wa bunge kutoa waraka huu sikusikii tena, upo kimyaa na utaendelea kua kimya kwa sababu umekiaibisha chama chako kwa kuonyesha kuwa chama kinakumbatia unafiki.Kimsingi ni kwamba umeonyesha udhaifu mkubwa sana ktk position ulionayo, ila cha msingi nafkiri umepata somo kwamba that's not how the politicians handle issues, sekretarieti ya chama inaonekana kupwaya saivi, katibu mkuu ndo hivo tena ana kashfa ya tembo, wewe unacheza chini ya kiwango.Unadhani mnafanya siasa gani sasa? hadi 2015 natabiri CCM kubadilisha sekretarieti zaidi ya mara 1 japo kupunguza kasi ya CDM ingawa ni ngumu sana kuwapunguza kasi CDM sasa hivi.
 
Msimamo wa Nape ndio huo, na si unajua aliutoa kwenye media? Au unaoujua mwingine ni upi? Umwage hapa manake c umeamua kumsemea? Kumbe hata Nape nae ana wasemaji wake aka Vibaraka, ama kweli penye vipofu wengi chongo huwa mfalme.
 
oh noo.....poor you
[h=5]leo ccm wamempokea aliyekuwa sekretari wa dr.slaa (swaumu) ametoa ushuhuda namna alivyoamua kuiacha chadema kwa sababu ya kumnyima penzi dr.slaa
dr.slaa alikuwa anamforce kufanya mapenzi ofisini,alipomnyima akasimamishwa kazi na mshahara ukakatwa.

Amelia sana namna alivyokuwa na fungiwa ofisini na kulazimisha ampe penzi kwenye ofisi ya katibu mkuu...
Shetani ni shetani,huwezi ---- kiongozi kwa kuiba wake za watu na sasa unaharibu future za vijana kwa kuwalazimisha wakupe penzi na uzeee huooo...
Amekabidhi kadi ya cdm mbele ya jopo la viongozi wa chama makini ccm huku akiapa kutorudi nyuma.
Hongera swaumu kwa kutambua kuwa cdm sio chama ni genge la wahuni,pole kwa yote,alimshinda rose kamili,akakimbilia kwa hawara(josephine) leo anakimbilia kwa mtoto kama ww ambaye ni sawa na binti yake yule aliyeolewa na dady igogo
[/h]

leo ccm wamempokea aliyekuwa sekretari wa dr.slaa (swaumu) ametoa ushuhuda namna alivyoamua kuiacha chadema kwa sababu ya kumnyima penzi dr.slaa
dr.slaa alikuwa anamforce kufanya mapenzi ofisini,alipomnyima akasimamishwa kazi na mshahara ukakatwa.

Amelia sana namna alivyokuwa na fungiwa ofisini na kulazimisha ampe penzi kwenye ofisi ya katibu mkuu...
Shetani ni shetani,huwezi ---- kiongozi kwa kuiba wake za watu na sasa unaharibu future za vijana kwa kuwalazimisha wakupe penzi na uzeee huooo...
Amekabidhi kadi ya cdm mbele ya jopo la viongozi wa chama makini ccm huku akiapa kutorudi nyuma.
Hongera swaumu kwa kutambua kuwa cdm sio chama ni genge la wahuni,pole kwa yote,alimshinda rose kamili,akakimbilia kwa hawara(josephine) leo anakimbilia kwa mtoto kama ww ambaye ni sawa na binti yake yule aliyeolewa na dady igogo

Tumekusikia na tumemwona mrembo.........hakika alipaswa kuwa Miss Tanzania kama sio World.......ila amekosea sana kukabidhi kitambulisho cha kazi kwa CCM.........Hii huwa ni mali ya mwajiri tofauti na kadi ya uanachama...hilo la kutaka kubabwa alipaswa aende POLISI.......la kujiuliza mbona alikuwa kimya muda wote mpaka hawa akina Juliana walipohamia CCM?

45.jpg
 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nauye, amesema kuwa jambo lolote ambalo linaleta heshima kwa Bunge analiunga mkono.

“Suala la Bunge kurushwa ‘live’ halirushwi kwa wakati ambao watu wanafuatilia kwani wakati wa asubuhi watu wanakuwa maofisini, wakati wa mchana wao wanakuwa wako mapumziko wanakula na Bunge nalo linakuwa mapumziko, sasa wanaangalia saa ngapi?” alihoji Nape.
Alisema hawezi kupinga suala ambalo linaonekana lina faida na kuleta heshima kwa Bunge hivyo anaafiki uamuzi huo.

Source: Nipashe Ijumaa

Sasa mh Nape inakuwaje mpira munautia kwapani., kama munayaweza wekeni bunge live mimi sikuwa na intrest ya kuangalia Bunge la TZ ila sasa baada ya kuona kiti kinayumba nimekuwa na ham sn na nitafuatilia sn, na juz kwenye kipima joto Lissu alisema Spika hajuwi kanuni siwezi amini Spika hajuw kanuni nadhan itakuwa kwanza Bunge la Tz., iam very interesting weken live tuhakikishe.,
 
Bunge letu kwa sasalimepoteza heshima na thamani. Limekuwa halina tofauti sana na malumbano yamitaani ya washabiki wa yanga na samba. Muda mwingi unatumika katika kuoneshaufundi wa kutumia lugha za kuzalilishana na za kujikweza. Wabunge wengi wakisimamawanatumia muda mwingi kujionesha kwamba wao na hatimaye chama chao ni borakuliko kingine. Wanakuwa visiki katika misimamo yao hata ikibainika wazi kwambahaina mshiko.
Wakati wa Bunge la kwanza la upinzani (1995-2000)kambi ya upinzani ilibarikiwa kuwa na wabunge wengi mahili na wajenzi wa hoja.Bahati nzuri idadi ya wabunge wa upinzani, kiuwiano ilikuwa ni kubwa kulikoleo. Tulikuwa na wabunge mahili katika siasa na sheria kama akina Mabere Marando,Dr Lamwai, Lyatonga Mrema na wengine wengi. Waliibua hoja nyingi nzito zakuikosoa serikali na kwa mafanikio makubwa. Tofauti na wabunge wa upinzani waleo, na licha ya uchanga wa siasa za upinzani kwa wakati ule, hatukuona lugha zakujikwaza na za kudhalilishana kama leo. Wabunge walijenga hoja zao kwa heshimana umakini mkubwa. Walishindana kwa hoja sio matusi na ubabe wa kujikweza.Waliheshimu kiti. Hapakuwa na kukatizana mara kwa mara kusikokuwa na maanakatika mtindo wa sasa “ wa kitoto “ wa “muongozo wa spika”. Na kanuni za Bungekimsingi zilikuwa ni hizi hizi. Muongozo wa spika ulitakiwa katika mambo yamsingi na sio katika mtindo wa sasa wakama mwanafunzi anayejifunza darasani. Hali hii iliendeleahata mpaka katika Bunge la 2005-2010. Tuliona wabunge wa upinzaniwakishirikiana na wabunge wa CCM walivyoikosoa serikali kwa nguvu zao zotekatika masuala kama Kigoda, Meremeta na Richmund na hatimaye ikapelekeakijiuzuru kwa Waziri Mkuu wa wakati huo. Hamna lugha za matusi na kashifazilizotumika na wala mtindo huu wa sasa “wa kitoto” wa “muongozo wa spika”haukuwapo. Mheshimiwa Dr Slaha, Mbowe, Kilango, Injinia Stella na Dr Mwakyembewaliposimama kupinga serikali walijenga hoja na sio matusi wala kujikweza. Sasaleo mtu akiongea kidogo na kuweka msimamo wake anauona ndio msimamo sahihihipekee na spika analazimika kuufuata na asipoufuata fujo itafanyika. Spikaanatoa uamuzi unajibiwa kwa kupingwa hapo hapo. Sasa kama huwezi kuheshimumaamuzi ya spika kuna maana gani kuomba mwongozo wake? Kuna maana ganikuhudhuria vikao ambavyo yeye ndiye mwenyekiti wake? Watu wengine wanawezakusema kwamba spika wa Bunge na msaidizi wake wana mapungufu. Lakini mimi sionikama hiyo ni sababu. Spika wa sasa wa Bunge amekuwa naibu spika kwa kipindikirefu. Ameongoza vikao vingi tu vya Bunge toka enzi alipokuwa naibu spika. Nautovu wa nidhamu wa sasa haukujitokeza. Mimi naona tatizo ni wabunge na siokiti japo kiti nacho kinaweza kuwa na mapungufu.
Angalia hata leobaadhi ya wabunge wa upinzani kama Kabwe, Kafurira, Mbatia, Mnyaa nakadhalika.Wanachangia sana katika kuikosoa serikali. Naweza kusema kwamba wanatoa wakatimwingine hoja nzito kuliko wenzao wafanya fujo. Zamani wakati wa chama kimojakulikuwa na wabunge mahili wa kuikosoa serikali katika mtindo wa kutoa shilingikama akina Mrema wa wakati huo, Mzindakaya, Kabuye nakadhalika. Hawakuoneshautovu wa nidhamu katika kuikosoa serikali japokuwa walikuwa wakali. Tunakumbukaule mjadala wa kutaka kuwepo kwa serikali ya Tanganyika mwanzoni mwa miaka ya90 ambao ulimgarimu Waziri Mkuu wa wakati huo Mh Jonh Samweli Malechela.Upinzani Bungenu ulikuwa mkali kuliko wa sasa. Lakini watu walishindana kwahoja na kuheshimiana wakitawaliwa na kanuni. Hii hali ya sasainatokana na baadhi ya wabunge kujiona wao wanajua sana na ni bora zaidi kulikowabunge wengine na waliowatangilia, japo wengi wao profile zao hazioneshi kuwawana taarifa ya kutosha katika mambo mbalimbali ya kisiasa, uchumi na jamii imakwa kukaa darasani au kwa uzoefu. Yawezekana pia hilo likawa ni chanzo chamatatizo. Kutojua kuwa hujui na badala ya kujifunza unajiona kuwa unajua kulikomtu yoyote ni ugonjwa usiopona.
 
Back
Top Bottom