Haliali
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 574
- 263
Hahahaaha . Naile barabara ya kwenda kule hostels hadi International school Prof Shoyo ndiyo anajua siri ya kusimama kwa utengenezwaji(ukarabati) wake. hauoni hata aibu kupita kwenye hiyo barabara. hahahaa wamegusa patamu
Ni Aibu huyo Prof Shao wako ndiyo anafahamu siri ya kusimama hiyo Plastic surgery yako!!!
Amewabana sasa munatapatapa hiki kipindi hakuna ulaji muliokuwa munapata