Recent content by Nkomoji

  1. N

    JamiiForums Tanzania kuna umuhimu wa kuwa na chombo ambacho kitakuwa kinapitisha izi movie za kibongo !

    Angalia subtitles za kiingereza kwenye movies za kibongo ndo utachoka zaidi!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV ya Novatus Makunga atuwekee humu JF tuifahamu...

    Makunga alikuwa anaripoti kinazi sana uchaguzi wa Arumeru mashariki!kumbe alikuwa ameahidiwa hako kaukuu ka wilaya?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Diamond kama kweli unajua mziki kwa hili ulikosea..

    Hana lolote huyo!huyo ni msukule wa Wafu fm!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Simba oyeeee

    Hongereni zenu washindi!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Dr Manyau Nyau kumrudisha Kanumba...

    Cheap popularity!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Antivirus vol. 3-Vinega waendeleza bifu na Ruge

    Ukombozi hauji kirahisi wale wasioamini kwamba Antivirus ni wakili watafunuliwa cku moja na wataelewa nini magenge yanataka!endeleeni kuscan na kudelete virus yeyote anayeleta us**ge!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Zitto, Filikujombe na Nape: wasikilize baada ya muda mfupi kupitia clouds fm.

    Heloo wafu fm!mnaturekodia siyo?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCm waliotia sahihi maisha yao hatarini.

    Gharama za ukombozi hizo!bravo mdogo mdogo hata wao wanajua!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Prof. Baregu aeleza kwanini hakutumia Biblia kuapa

    Thats freedom of worship congratulations prof Baregu.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jimbo Lingine la Chadema Hili hapa endapo wakiamua kulibeba kirahisi

    Tusisahau Bariadi mashariki kwa Cheyo chama kishakufa,Bariadi magharibi fisadi hupita kwa kumnunua Isack manjoba Cheyo!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilikuwa vikosi vya CCM na CHADEMA vya kampeni! Tucheki tofauti zao

    Sokwe mtu limejiju kazi majungu!mtakufa na presha awamu hii!nani anaongoza kusinzia bungeni??Sokwe mtuuuu!
  12. N

    JamiiForums Tanzania You are Right BASHE

    Bashe CCM siyo Mungu kwako,siyo mama wala baba yako.Kama unadhamira ya dhati basi jiunge na wapambanaji wa kweli kwa lengo la kulikomboa taifa kutoka kwa mafarao wa CCM!Siyo leo unasema hivi halafu kesho unawaambia wandishi wa magazeti yenu na Tbc yenu kuponda ukweli!yuko wapi Tido Muhando?eti...
  13. N

    JamiiForums Tanzania CCM yashinda Lagangabilili

    2015 lazima tuwaoneshe kazi.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Vinega: Kusaga Asanda, Afuta Kesi Kinyemela

    Magenge ya Mwengeeee....!
Back
Top Bottom