Diamond kama kweli unajua mziki kwa hili ulikosea.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diamond kama kweli unajua mziki kwa hili ulikosea..

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Somji Juma, May 4, 2012.

 1. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,506
  Likes Received: 2,052
  Trophy Points: 280
  ilikua kwenye TUZO ZA MUZIKI ZA KILI 2011/2012..
  Wakati OMMY DIMPOZ anaenda kupokea TUZO yake ya pili alisindikizwa na DIAMOND(hawa ni marafiki wakubwaa)..ndipo DIAMOND akatoa maneno haya:-
  'kuna siku niliwahi kumpeleka huyu dogo kwa producer fulani hiv lakin huyo producer akasema dogo hajui kuimba lakini nashangaa leo huyo producer hajapata TUZO hata moja wakat dogo anapoke TUZO ya pili'..
  producer anaemzungumzia hapo ni BOB JUNIOR..
  kimsingi kama unajua mziki kwa hawa ma producer kuna kitu wanakiita 'TOUCHES' yani BOB JUNIOR aliona kwa 'TOUCHES' zake dogo hafai..
  wimbo wa huyu OMMY D umerekodiwa na KGT(G RECORDS) kilichonogesha ule wimbo ni vnanda vya KGT na CHORUS ambayo aliyeitunga ni ALIKIBA na aliyempa idea ya kumshirikisha ALIKIBA ni KGT..
  JE ANGEENDA KWA BOB JUNIOR ANGEPEWA IDEA YA KUMSHIRIKISHA ALIKIBA.?NA JE ANGEMSHIRIKISHA MTU MWINGINE CHORUS INGEKUA NZUR VILEVILE.?
   
 2. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Diamond ni Limbukeni wa kutupwa...He says and the THINKS...Elimu matters, hapo haihitaji darasa ni just kufikiria tu...
   
 3. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,506
  Likes Received: 2,052
  Trophy Points: 280

  labda alikua anafanya taarabu pale cozkwa akili ya kawaida huwez kuongea vle kama unajua production ya mziki..
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  yeeeto!..navecha!
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ndio shida ya kujiona celebrity... kuwa kila kitu unajua wewe.....????
   
 6. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkuu, you should not waste your time kwa watu kama Diamond.
  Ukikumbuka background yake, akili yake nadhani ungemwelewa kwa nini alisema hivyo...
   
 7. Brown ad

  Brown ad JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  aya mbwanye!
   
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Haya ndio mambo ya kina Kanye West...just piece of shit!
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Diamond ni msanii wa nchi gan jaman?
   
 10. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi Diamond na memba ya JF pia? Kwanini usimfikishie ujumbe kwa njia ambayo ni rahisi kwake?
   
 11. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,506
  Likes Received: 2,052
  Trophy Points: 280
  mjinga haeleweshwi so haina haja ya kumwambia yeye direct..
   
 12. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hana lolote huyo!huyo ni msukule wa Wafu fm!
   
 13. P

  Pipozpawa New Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jambo la msingi atambue kuna kupanda na kushuka. Leo yuko kwenye PEAK kesho anaweza kuwa kwenye depretion alaf BOB akawa ndo yuko kwenye PEAK.
  Ni mtazamo tu...,,,e$e
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Asome saa ngapi na lipshine apake saa ngapi?
   
 15. W

  Whitemariam Member

  #15
  May 7, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata cjui anaimba aina gani ya mziki!
   
 16. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #16
  May 7, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sio tu ni msanii bali nirais wenu
   
 17. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  wa tandale
   
 18. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,720
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  BOB hawezi kuwa juu...hapo alipo sasa ni juu sana kwake... hajawahi kumfikia platinum na ni ndoto kwake kumfikia. Platinum yuko next level. ni reality tu ambayo ukiikubali hutopata shida, ukishindana nayo itabidi utoke mishipa ya shingo kujenga na kusimamamia hoja.

  BOB was ill advised kwamba anaweza kuvamia front naye akaimba na kuweza ku-hit kama platinum...WRONG MOVE!!!
   
 19. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Dogo wa chopa hajitambui mwambieni afanye haraka haraka anunue hata kiwanja kama kujenga hawezi.Mwambieni wapi mzee wa takeu anajikakamua lakini wapi.
   
 20. N

  Nasieku Member

  #20
  May 8, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwacheni, mbwa ukimjua jhna hakusumbui, msepeni uyo
   
Loading...