Simba oyeeee

Simba oyeeee

Simba 5, CCM 0 ahahahahahahahaaaaaaa!!!!!!!!!!naona kuna ndala zinang'aka sana humu pasukeni tu.
 
Okwi mwiba mchungu kwa yeboyebo. Riz1 msajili swahiba wako sasa achezee timu ya chama
 
Tumerudisha 5 zao walizotupiga. Sasa kazi kwao kurudisha zile 6 tulizowachabanga.
 
Simba na sisi tunakera sana, Yanga wakija kushangilia wageni tunawafunga wanaondoka vichwa chini, wakija kujishangilia wenyewe tunawapiga kipigo cha mbwa mwizi. Sasa tunataka wasije uwanjani au? Aaaarghh
 
walikuja kiovu wakawashangilia,,,wakaja E ,S SETIF WAKASHANGILIA,WAKAJA ALHILALY SHANDI WAKASHANGILIA...LAKINI MWISHO WA MCHEZO WANATOKA VICHWA CHINI KWA KIPIGO KINACHOTOLEWA NA MNYAMA.
 
Yanga timu ya vibabu vya darisalama na wachezaji wazee ndo maana wamecheza kizeezee na tumewakomesha,simba OYEEEEEE
 
Walitumia mda mwingi kutatua mgogoro kuliko kuandaa kikosi
 
Ahhh Yangaaaaa deadly dead...Jangwani bakora kama kawa...mnyama anatisha
 
Back
Top Bottom