Recent content by nkawa

  1. nkawa

    Unam-treat FAIRLY house girl wako?

    Kwangu yote anayapata mshahara mzuri, likizo, mapumziko, zawadi na mafunzo ya cherahani..kimbembe yeye hawajibiki ipasavyo ukimkosoa anavuta mdomo kama chuchungi namwacha afanye atakavyo kwani wasichana wa kazi ni tabu kuwapata.
  2. nkawa

    Kizungumkuti Cha Lugha ya Kiingeteza; Bunge limenikumbusha mbali leo!!

    Kimbembe kwa madam speaker......
  3. nkawa

    Tupia maneno picha hii

    Hiyo picha uliiwahi vipi, wangekufukuza ukawaeleza vizuri
  4. nkawa

    Jamani kaburi la kanumba laleta kizaazaa

    Leo imenishangaza kwenye habari za magazetini, Kanumba azikwa kwa mil 70, rambirambi zilmefikash mil 90, mama yake amepewa mil 4! Maziko kwa mil 70? Halafu tunaambiwa ameacha magari 3 na alikuwa na akiba ya mil 40. Bado kuna utata....
  5. nkawa

    Millya Amedisturb Political Equillibrium Tanzania

    Millya kuwa makini..watakukolimbaaaaaa
  6. nkawa

    Kagera: Tunahitaji bendera Mpya za CHADEMA na pia ziwe nyingi

    Hapa Muheza Tanga ndio waoga kama nini watu wanaogopa matusi kutoka kwa makada wa CCM, bendera za CDM ni chache sana, viongozi mkitembelea maeneo mzibebe na bendera, kofia, tshirt msisubiri kipindi cha kampeni
  7. nkawa

    Ungependa kitu gani kiwemo kwenye katiba mpya?

    Katiba mpya ionyeshe wazi nafasi sawa kwa wanawake na wanaume katika nyanja zote, kumiliki mali, ardhi, elimu na uongozi. Wananchi wote wanapata sehemu ya ardhi iwe kwa wanaoweza kununua na hata waasio na uwezo wagawiwe sehemu ardhi kupitia serikali za vijij.
  8. nkawa

    Mapato ya mbunge wa bunge la Tanzania kabla ya kujiongezea posho

    Duu inauma lakini ndio ukweli, na je? kuna fungu jingine kwaajili ya maendeleo ya jimbo lake?
  9. nkawa

    ADC yavunja Ngome ya CUF Zanzibar, Wanachama zaidi wajitoa

    Haswa tunataka Chama chenye Uadilifu...hivi jezi la CDM zinapatikanaje?
  10. nkawa

    Hii sio foleni ya maji, ni akina mama wakipanga folen kununua kadi za CHADEMA

    Oooh..mbona wameshafika huko hadi mama spika kaipata harufu yake anajihadhari mapema hatogembea tena ubunge, ule mkutano aliofanya jimboni kwake TBC walionyesha hakuna hata watu kakusanya ndugu zake wanamsikiliza...CCM hawana jipya
  11. nkawa

    Hii sio foleni ya maji, ni akina mama wakipanga folen kununua kadi za CHADEMA

    Acha utani ..mkutano wa kiroho hatupangi foleni tunakaa kwenye viti
  12. nkawa

    Lowasa hazina ya CCM 2015

    Mmh! tumeshaanza kulewa vijipesa vya hazina ya CCM 2015.....na njaa iliyopo sasa hivi...!
  13. nkawa

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    Wakati ndio walioitengenenza! wanaijua vizuri..
  14. nkawa

    Sasa Lowassa hakamatiki: Waraka kwa Jakaya Kikwete!

    Habari yenyewe ndeefu nasikia kuchoka...napita miye
  15. nkawa

    valentine day jamani....

    Nendeni sehemu tulivu kama beach za kigamboni Sunrise for one night, wine kwa nyama choma pembeni, ongeeni mambo ambayo hamjazoea kuhadithiiana, avae ambacho hujawahi kumwona amevaa..cha mvuto..Mwambie jinsi gani unavyompenda na kumthamini inatosha. Hata isahau siku hiyo
Back
Top Bottom