Tupia maneno picha hii

Tupia maneno picha hii

Wanawahi kuzuia maandamano ya chadema hapoo
 
wa kulaumiwa ni kikwete..kashindwa hata kuwakopesha boda boda hawa makuda!
 
hapo wanatoa elimu kwa umma jamani hayo ni maonesho tuu, sema picha imepigwa na kamera ya kichina lkini upande wa kusini mashariki kuna watu wanatazama tukio tehe,,,
 
Wanawahi emergency wakuu...!!! mi nawajua hao askari bana....mmoja ana ki-suzuki kei na mwingine pikipiki ya polisi kabisa!
 
huu ni ushahidi tosha......IGP atataka ushahidi gani tena??
 
Kwa wenzetu walikuwa hawana kazi tena kaba IGP ataona hiyo picha lkn kwetu ukimwambia askari wako wanafanya hivyo atakwambia upeleke ushaidi
 
Wao ndio wanakuwa wa kwanza kuvunja sheria...
 
live+miskaki%281%29.jpg


jamaa wanawahi kazini kusaini. Hapa kuny*a anye kuku akiny*a bata kahari*sha.
Toka kwa mithupu
nani anafaidi hapoooo katika huo mshikaki
 
Hiyo picha uliiwahi vipi, wangekufukuza ukawaeleza vizuri
 
Hapo ni kama bendera ya taifa imeshushwa jioni.
 
Live+miskaki%281%29.jpg


Jamaa wanawahi kazini kusaini. Hapa kuny*a anye kuku akiny*a bata kahari*sha.
Toka kwa Mithupu
Wewe unaweza kulala kwenye nyumba iliyojengwa kwa mabati na kuezekwa kwa mabati aka full suit? unaweza wewe kulala kichumba kimoja na mkeo(kama unaye) na wanao(kama unao) na mama mkwe wako? mkitenganishwa na kapazi ka khanga? jamaa wanaweza hawa. Wewe unaweza kukesha usiku macho bila kulala(guard) jamaa wanaweza hawa.So wanafanya vitu exceptional ambavyo wewe hutoweza kuvifanya.
 
Back
Top Bottom